Fundisanifu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 515
- 625
Habarini wanajamvi wote humu.
Nachukua fursa hii kuandika hapa maana nmesikitishwa na kuumia na kilichonitokea jumatatu! (27.04.2020)
Mimi ni staff wa afya na ninafanyia shughuli zangu dsm. Tangu wiki iliyopita nimekuwa nikisumbuliwa na muwasho flani kooni uliodevelop mpaka nikaanza kukohoa na sijawahi kupata kikohozi cha namna hii. Jumapili hali yangu imeanza kubadilika kwa homa ya kuja na kuondoka, nikawa najichunguza mwenyewe kama ni huu ugonjwa wetu umenipata!.
Jumatatu asubuh hali yangu ikabadilika na kuanza kupatwa headache na kizunguzungu severe ikabidi nitoke kazini kwangu na kwenda AMANA HOSPITAL ili nipate kuchunguzwa maana hali haikuwa hali kabisa ukizingatia mazingira yangu ya kazi ni kudeal na wagonjwa tofauti tofauti, hivo kuna risk ya kuwa nilipata contamination nikawa exposed
Nimefika Amana majira ya saa 9½ nkazuiliwa na walinzi kuwa mpaka nipate kibali kutoka mnazi mmoja,(hapa naomba kuuliza kama huu ndo utaratibu rasmi).. nimefika Mnazi Mmoja wamenichek joto muda huo lilikuwa limerud stable, ila kizunguzungu kichwa na kukohoa ndo vilikuwa bado pale mapokezi nikaambiwa kuwa kama nataka kucheki COVID-19 basi niende PLADU hospital iko buguruni!!(hivi huu ndo utaratibu uliopo!?) plus hii pladu hospital mbona sijawahi hata kuisikia!?
Nilibaki na maswali mengi ukijumlisha hali yangu ilikuwa mbaya muda huo na niko mwenyewe, nikakata tamaa kabisa kuwa siwezi kuendelea kuzunguka na kurudi nyumbani, .. maamuzi niliyochukua ni ya kujitibu mwenyewe symptomatically mpaka sasa nipo ghetto naendelea vizuri kidogo kiasi cha kuweza kuandika hii habari!.
Nimesikia kuhusu kujifukiza na tiba asilia mwenye uzoefu naomba anifahamishe recipe nitatumia.
Pia naombeni kuuliza hivi hii ndo PROTOCOL iliyopo!? Au ni kufanyiana makusudi, maana nimeumia sana ila sikuwa na namna!.
Mwisho naomba hili swala liangaliwe na serikali vizuri.. vinginevyo bora tukae tu majumbani tuhangaike na tiba asilia maana kwa mtindo huu inaonesha jinsi gani hizi HOSPITAL zilizowekwa maalumu kwa CORONA hazina faida (tija).. mimi pia ni staff wa afya ila this is too much ndo mana nimeamua kuliwasilisha huku!.
Alasiri njema.
Sent using Jamii Forums mobile app