Kuna utaalam wa kutumia Aquarium bila umeme?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Nauliza tu jamani,hivi kuna utaalam wowote wa kutumia Aquarium bila kutegemea nguvu ya umeme?
Samaki au viumbe wengine wanaweza kuishi bila mzunguko wa maji unaosababishwa na umeme?
 
Ndo ile aquarium unayotaka kunihonga yenye urefu wa 68 inches?
Utadoda mwaka huu,lol
 
Hahaha naona Paw amekuteka kwa sasa,ila jua tu nikilala unakuja kwenye ndoto yangu,kama samaki wawili tukiogelea pamoja,kwako mi ndo mgonjwa sugu na wewe ndo tabibu aliyekubuhu,njoo nikupe penzi tam lenye vitamini D kama jua la mawio,nataka nikupe penzi mpaka uje useme "umenipa ila sikutosheka Excy"...Njoo nikupe penzi nikupeleke kwenye matawi wanakoishi viota vya tai,hakuna atakayetuyumbisha penzi letu litakuwa ngumu kama formula ya pai,njoo nikupe penzi na uniite mwasisi,wahuni wakija tuwatimue kwa mbio za farasi,Nakupenda King'asti au kwa vile mi mmang'ati.
 
Hivi hapa tuko wapi?
Kwenye life hii:A S-heart-2:paw:A S-heart-2: kaniteka haswaa, kichwa, mabega, magoti hadi mabawa.
labda usubiri kwenye after life. Au nikifa nikarudi kama nyau hivi

Ingawa penzi unalolipa ni kamari but najua ipo siku utasema Excy nipo 100% ndani yako
 
:confused2:Hii kamari unajichezesha mwenyewee.
Hata Paw akiRIP (God forbid)wala sitokufikiria wewe. Nitaaim level ingine.
Ingawa penzi unalolipa ni kamari but najua ipo siku utasema Excy nipo 100% ndani yako
 
Thubutuuu, manati ya nini na. Kuku ni wake?
Haya nikujibu basi. Since aquarium ni ndogo so surface area ambayo inapata oxygen ni ndogo. Na kwa sababu hakuna mawimbi wala any water movement maji ya ndani hayatapata oxygen and actually yataoza haraka sana. So samaki hawatasurvive. So umeme ni inevitable. Kwani unahofia bili,lol
teh teh teh kweli Paw noma,hata reply anajibu yeye?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom