Kuna usawa wowote kuhusu upataji mkopo kati ya waliosoma shule za serikali na binafsi?

chagga gang

Member
Aug 21, 2021
62
34
Wakuu,

Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo

Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo uje kusema wana haki ya kupata mkopo wa 1.2 -2.0mil ya chuo kikuu? How comes

Wale yatima na kaya maskini wengi wao wamesoma gvt tena kwa kuungaunga wanastahili 100% ya mkopo

Unakuta mtu ni yatima na death certificate ameambatanisha kabisa

Lakini bado unakuta

Bs-0

Fpt-0

Tf kapata 700,000 na ada ni 1.5mil

Sfr-0

Inauma sana

Serikali ya sasa haijali utu na hali ya mnyonge, ila inaangalia wapi tupige pesa.

Bora nasema bora ya utawala wa marehemu magufuli.

Mungu ampumzishe kwa amani kwa sababu alisimamia haki na kila kitu kilinyooka.

Shame on this government
 
Hizo allocations walizotoa unaweza kuzani niza watoto wa wazazi wa marekani..

Tegemeeni watoto wengi kubaki majumbani kwa kushindwa kumudu gharama za ada..

Tegemeeni pia ongezeko kubwa la wadangaji kwa watoto wa kike.

Tegemeeni maisha magumu yalipopitiliza ya watoto wa masikini wawapo chuoni.

Maisha ya Chuo bila pesa nisawa nisawa na maisha ya siku ya juma pili pale keko gerezani.

Serikali msipoliangalia hili Jambo upya karma ya kundi Hilo la watoto masikini itakuja kuwatafuna siku moja Hadi mshangae..
 
HAKIKA
 
Sijui sana lakini nazani serikali haina fedha ya kutosha watu wengi. Inajitahidi kadiri iwezekanavyo .
 
Back
Top Bottom