Kuna usawa juu ya hili???

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Ni sawa kuchaguliwa mke na mama yako eti kisa ni mzazi na kila ki2 kwako?je ni sawa kuoa mtu ucyemjua kwa Tabia,au coz ni mzuri 2 wa umbo?
 
hicho ndo kitu ambacho sikubaliani kabisa...
wewe unatakiwa umchague mtu ambaye utaishi naye na si mzazi wako....
tafuta mtu ambaye we unampenda na ataendana na wazazi wako.....
SI SAWA kabisa kuoa mtu usiemjua tabia.....
kila mtu ni mzuri nje.... ila mke anatakiwa awe na uzuri wote wa nje na wa ndani..........................
 
bora tungekuwa tunachaguliwa kama zamani nadhani wengiii tusingekanyaga HAYA MATOPE KWA SASA..............:doh::doh:headheach tupu
 
Ni sawa kuchaguliwa mke na mama yako eti kisa ni mzazi na kila ki2 kwako?je ni sawa kuoa mtu ucyemjua kwa Tabia,au coz ni mzuri 2 wa umbo?

koku-do (your ID sounds feminine):

Huyo anayechaguliwa kama yupo tayari kuchaguliwa,binafsi sioni tatizo.
 
Sio kwamba ni maamuz ya jamaa mother anadai kuwa hawez kuoa kwenye familia duni,na km jamaa angelazmisha bs angemtafuta mamake mwingne du jamaa alivyoona hvyo akalegea miguu kuikosa radhi ya mama c k2 cha kitoto
 
ndugu yangu ningependa kupa ushauri tuu...mimi nionavyo si kumpinga mzazi mpaka akufaham...we mjbu kwasasa siko tayari halaf tafuta anaendana na tabia au maadili ya familia yako atakae wajali wazee na kumfarahisha mama...bas utakuwa umefanya busara kivingine ndoa huenda ikalegalega mambo ya kuchaguliwa mke...:thinking:
 
hamna lolote
satnd for yr own
mam alimchagua baba kwaraha zako
sasa habar za kuchaguliana dahh wkt wewe swala unaenda kutafutiwa kobe au jongoo sijui mtarandana vp apo....

umechaguliwa leo kesho mama kafa na uyo mke akawa si mke bali balaa mlev,anagawa nje,hakupikii na wala haukueshimu itakuwaje?

oa yule unayemjua +unamfili na ambaye umeish nae km galfrend kwakipind so umemsoma vya kutosha ....lakin izo swaga za mama kakutafutia kigor maziwa yamesimama km jek babu utalia mwsho wa siku

mweleweshe mama...omba wazee wakaongee na mama bt usithubutu kuoa ili kumridhsha mama cz uyo mke ni wakwako si wa mama.
asante..na karibu kahawa
 
Back
Top Bottom