hicho ndo kitu ambacho sikubaliani kabisa...
wewe unatakiwa umchague mtu ambaye utaishi naye na si mzazi wako....
tafuta mtu ambaye we unampenda na ataendana na wazazi wako.....
SI SAWA kabisa kuoa mtu usiemjua tabia.....
kila mtu ni mzuri nje.... ila mke anatakiwa awe na uzuri wote wa nje na wa ndani..........................
Sio kwamba ni maamuz ya jamaa mother anadai kuwa hawez kuoa kwenye familia duni,na km jamaa angelazmisha bs angemtafuta mamake mwingne du jamaa alivyoona hvyo akalegea miguu kuikosa radhi ya mama c k2 cha kitoto
ndugu yangu ningependa kupa ushauri tuu...mimi nionavyo si kumpinga mzazi mpaka akufaham...we mjbu kwasasa siko tayari halaf tafuta anaendana na tabia au maadili ya familia yako atakae wajali wazee na kumfarahisha mama...bas utakuwa umefanya busara kivingine ndoa huenda ikalegalega mambo ya kuchaguliwa mke...:thinking:
hamna lolote
satnd for yr own
mam alimchagua baba kwaraha zako
sasa habar za kuchaguliana dahh wkt wewe swala unaenda kutafutiwa kobe au jongoo sijui mtarandana vp apo....
umechaguliwa leo kesho mama kafa na uyo mke akawa si mke bali balaa mlev,anagawa nje,hakupikii na wala haukueshimu itakuwaje?
oa yule unayemjua +unamfili na ambaye umeish nae km galfrend kwakipind so umemsoma vya kutosha ....lakin izo swaga za mama kakutafutia kigor maziwa yamesimama km jek babu utalia mwsho wa siku
mweleweshe mama...omba wazee wakaongee na mama bt usithubutu kuoa ili kumridhsha mama cz uyo mke ni wakwako si wa mama.
asante..na karibu kahawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.