Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,711
- 4,642
Nimekusoma.Ile ni kampuni, inahitaji mtaji kama kampuni ikizozisajili.
Kwa njia ya on line nitaweza kuongeza hisa zangu kwa urahisi.
Nimekusoma.Ile ni kampuni, inahitaji mtaji kama kampuni ikizozisajili.
Kwa njia ya on line nitaweza kuongeza hisa zangu kwa urahisi.
Nimeanza kununua kuanzia January 21 na nikutoe waswasi ni salama kabisa na ukinunua baada ya muda usiozidi wiki mbili unakua umeshapata cheti chako cha umiliki wa hisa. Ni salama na nakushauri anza sasa...

Bongo wacheki Solomon brokersNi blocker yupi ni vzur kumtumia kwenye mambo ya hisa (CDS)
Pitia Youtube utapata video zinaeleza hii hatua kwa hatua.Natumaini wazima ,poleni kwa majukumu, naomba kufamiswa namna ya kununuwa hisa online.
Sijaona changamoto yyte kwa ununuaji wa online so far.Ndugu chamamoto gan umekutan nayo wakat mpaka sas kwa uzoef wako kweny swala hili la hisaa
Anza na kufungua account kwa site yao DSE hii Hapa.. Soko la hisa DSEhebu leta somo hatamie nlikuwa sijui unaweza nunua hisa online