kuna upendeleo malipo ya dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna upendeleo malipo ya dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jan 19, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mimi naona kuna upendeleo malipo ya dowans. kuna watu wengi wamepata hukumu ambapo serikali imeamrishwa kulipa na pia serikali ilipe riba. mfano mzuri ni valambia ambapo serikali iliamriwa ilipe bilioni hamsini kwa sasa zimezidi themanini. mke wa kombe iliamriwa alipwe milioni mia tatu naambiwa hajalipwa. kuna watanzania wengi wanasota serikali inasema haina pesa. kwanini dowans leo tu walipwe? waandishi tafadhali iulizeni serikali je ipo tayari kuwalipa kwanza akina valambia ambao hukumu zao zilitoka mape
  http://www.google.com
   
Loading...