Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 4,728
- 3,172
Habari za muda wakuu?
Napata habari mbaya na malalamiko kutoka kwa mwanafunzi ambaye anasoma kidato cha tano shule ya sekondari Kazima mkoani Tabora, kuwa kuna unyanyasaji wa hali ya juu.
Moja, ni watoto wa kike kuadhibiwa makalioni.
Pili, kugharamia masomo ya jioni kwa baadhi ya topics ambazo hazifundishwi darasani.
Tatu, ni kuhuusu mavazi. Nasikia mara kwa mara wanafunzi wanaambiwa wabadilishe ushonaji wa hizo nguo bila sababu za msingi.
Naomba kama kuna mtu kasikia hizi taarifa pia athibitishe hapa jukwaani au kwa wazazi mlio na wanafunzi shuleni hapo pia, naomba kujua watoto wenu wanasema vipi kuhusu haya niliyotaja tafadhali.
Pia, kama kuna mwalimu jirani au wa shule hiyo jukwaani tafadhali aseme lolote.