Kuna unyang'anyi wa kidola unaendelea Tanzania

Duuh duuh....hivi kumbe kweli haya mambo yapo?
Kuna Mama alichelewa kufuatilia hela ya Miradhi ya mume wake, akakuta akaunt iko dormant na hela iliyokuwepo, 4.3 Mill imepelekwa Hazina, tena ya Dodoma, so Bank husika ikamuomba mama afuatilie huko, wao wameelekezwa na BOT kuwa hela za namna hiyo apewe hazina kuzitunza
 
Wanajanvi, kabla ya kuleta thread hii nimejiridhisha kutoka chanzo zaidi ya kimoja, leo asubuhi kuna mtu amenipa habari za kushtusha, sikutaka kuamini lakini nikaenda chanzo kingine na chenyewe kikajiridhisha toka chanzo kingine na wakasema ni kweli.
Ni hivi sasa hivi matajiri wananyanganywa pesa zao na serikali bila kupenda, wakija wakakukosa kwenye kodi wanakwambia kinagaubaga kwamba kodi yetu inaonekana unalipa vizuri lakini unaonekana una pesa nyingi kwenye account zako, kwa hiyo kinachofanyika wanakwambia tunataka kiasi fulani la sivyo tutafunga account zako! Mfanya biashara anakuwa hana namna zaidi ya kuachia mzigo!. Hii habari ni ya kustusha sana kwa nchi inayoendesha utawala wa sheria. Huu ni ujambazi wa kidola na haukubaliki.
Kwa hiyo kama una pesa hani mtoa mada kwenye account zako be vigilant ujambazi huu hauchagui lakini kibaya zaidi unaiangamiza nchi yetu watu wanakimbiza mitaji nje.
Samahan mtoa mada nipo humo ndani najuwa taratibu na kwa maelezo yako unaficha kitu embu sema ukweli ref Aml law. Pia on same law USA ndio atakuwa jambaz kuku TZ cha mtoto.
 
Juzi Rais katangaza waziwazi TRA wasiwabughudhi wananchi kwa estimates za kodi. Siku ya pili naibu Waziri akamsimamisha kazi Afisa Mwenye cheo wa TRA Dodoma kwa makosa ya kubughudhi wafanya biashara.

Leo serikali hiyo hiyo ifanye aliyoleta mleta mada?

Labda angesema kuna maafisa walio waaminifu wanafanya hayo ningemuelewa. Lakini dola? Hapo bado kabisa kutuaminisha wengine.

Sasa hivi kinachoendelea hapa JF ni wale wa upinzani kuja na kila uongo wa kuipaka matope serikali ya CCM. Nahisi wale vijana waliokuwa kitengo cha IT cha ukawa safari hii wameanza mapema fitna zao za kijinga.

Lakini wanaharakati wa CCM tunawahakikishia kuwa tupo macho na hatujasinzia.
Mkuu kwani TRA walianza lini kukadiria kodi?
Kitendo cha serikali kuwaambia TRA wasiwakadirie kodi hakifuti uwezekano wa serikali kubariki matendo hayo ya TRA hapo awali.
 
Wanajanvi, kabla ya kuleta thread hii nimejiridhisha kutoka chanzo zaidi ya kimoja, leo asubuhi kuna mtu amenipa habari za kushtusha, sikutaka kuamini lakini nikaenda chanzo kingine na chenyewe kikajiridhisha toka chanzo kingine na wakasema ni kweli.
Ni hivi sasa hivi matajiri wananyanganywa pesa zao na serikali bila kupenda, wakija wakakukosa kwenye kodi wanakwambia kinagaubaga kwamba kodi yetu inaonekana unalipa vizuri lakini unaonekana una pesa nyingi kwenye account zako, kwa hiyo kinachofanyika wanakwambia tunataka kiasi fulani la sivyo tutafunga account zako! Mfanya biashara anakuwa hana namna zaidi ya kuachia mzigo!. Hii habari ni ya kustusha sana kwa nchi inayoendesha utawala wa sheria. Huu ni ujambazi wa kidola na haukubaliki.
Kwa hiyo kama una pesa nyingi kwenye account zako be vigilant ujambazi huu hauchagui lakini kibaya zaidi unaiangamiza nchi yetu watu wanakimbiza mitaji nje.
Kama ni kweli Tanzania inaongozwa wagojwa wa akili.
 
Hillo unalosema nikweli nikianza naoparesheni sangara huku ziwa Tanganyika wamekuta uvuvi sio haram lakini kwakuwa pesa ndio ilikuwa shida yao wamechoma nyavu bilautaratibu nakunyanganya engine za uvuvi nakusema zikakombolewe kwa pesa laki 5 kilamashine na engine zingine nikwaajili ya kufanya safari za maboat kubeba mizigo na abiria kutoka sehemu kwenda sehemu zote wamekusanya sasa tunajiuliza kwanini hivi shida niuvuvi haram za maboti unashika zanini serekali imeamua kukaba azarani kwa kisingizio cha tokomeza uvuvi haram utasikia tumekuasanya mapato kweli nawanajisifu sema tumedhulumu watu sio kukusanya mapato
Ahsante sana ndugu, watu wanaibewa kila kona halafu kuna watu wanakuja wanabisha humu wanajifanya vichwa maji. Mfalme aliyepungukiwa na akili huonea sana watu wake
 
Kuna Mama alichelewa kufuatilia hela ya Miradhi ya mume wake, akakuta akaunt iko dormant na hela iliyokuwepo, 4.3 Mill imepelekwa Hazina, tena ya Dodoma, so Bank husika ikamuomba mama afuatilie huko, wao wameelekezwa na BOT kuwa hela za namna hiyo apewe hazina kuzitunza
Du! Mpaka mirathi wanakomba?
 
Ajabu! Huu uzi nilijua utafungwa jana au angalau ungepewa kile kianzio pendwa; Tetesi. Au labda kuna kweli, Mo na mfanyabiashara Zachari mzee wa mabinduki mkuje huku mtueleze.
Hauwezi kufungwa unagusa maisha ya watu na afya ya nchi kwa ujumla. Mazingira kama haya yanawafanya watu wasiwe na confidence ya kuwekeza.
 
MANJI.... MO DEWJI.... GSM.... MDOGO WA ROSTAM AZIZ.....

Anyway, sasa nimesikia WANAPORWA KOROSHO..... sijui ni nani anapora wala ni nani anaporwa
Ni uharamia kwenda mbele, kwenye korosho eti wanakuuliza shamba, huu ni upuuzi, biashara always ina wazalishaji wadogo na hao wakiwa na shida huwa wanawauzia wafanyabiashara wa kati wenye mitaji. Sasa mtu akienda kuuza ukaanza kumuuliza shamba liko wapi ni ujinga na uonevu iliopitiliza.
 
Wanajanvi, kabla ya kuleta thread hii nimejiridhisha kutoka chanzo zaidi ya kimoja, leo asubuhi kuna mtu amenipa habari za kushtusha, sikutaka kuamini lakini nikaenda chanzo kingine na chenyewe kikajiridhisha toka chanzo kingine na wakasema ni kweli.
Ni hivi sasa hivi matajiri wananyanganywa pesa zao na serikali bila kupenda, wakija wakakukosa kwenye kodi wanakwambia kinagaubaga kwamba kodi yetu inaonekana unalipa vizuri lakini unaonekana una pesa nyingi kwenye account zako, kwa hiyo kinachofanyika wanakwambia tunataka kiasi fulani la sivyo tutafunga account zako! Mfanya biashara anakuwa hana namna zaidi ya kuachia mzigo!. Hii habari ni ya kustusha sana kwa nchi inayoendesha utawala wa sheria. Huu ni ujambazi wa kidola na haukubaliki.
Kwa hiyo kama una pesa nyingi kwenye account zako be vigilant ujambazi huu hauchagui lakini kibaya zaidi unaiangamiza nchi yetu watu wanakimbiza mitaji nje.
MUNGU WANGU TUNAELEKEA WAPI
 
Wafuasi waliobakia wa CCM kindakindaki kutoka rohoni ni asilimia 0.1% ya Tanzania nzima. Ila 99.9% wana CCM haiwaikubali ila unafiki tu ndio uliobakia. Na kama kweli hayo mambo wanayofanya, uchaguzi ujao wataumia vibaya sana.

Ila mungu atawalipa hao viongozi wanaotoa AMRI hizo, watapata wanacho stahiki, mungu ndio alieumba MATAJIRI na MASIKINI kwa makusudi yake. Sasa wao wanajiona kama MIUNGU WATU.

Ndio yale yanatokea unasikia mtu na heshima yake au kiongozi flani KAFIA CHOONI, au KAFIA GUEST HOUSE, au KAPIGWA JANGA TAKATIFU MOJA lisilokua na tiba, mpaka anatamani afe ila kufa hafi sasa. Mungu mkubwa sana na akiamua kumuadhirisha mtu, haikwepeki.
Mkuu siku za jiwe zimehesabiwa, aki hawezi dhurumu mtu jasho yake
 
"Mo" kaiacha uchi Tanzania..
Hapa serikali ilibugi sana mara kumi wangeteka wahindi sita ila si mtu mashughuri kama Dewji.

Kwa sasa hakuna muwekezaji mpya atakayeweka mtaji Tz zaidi ya Wachina.
 
Back
Top Bottom