Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

WaPo wengi sana..kuna mmoja amenunua gari ya Million17 from Japan tena ni Senior lecture wa Chuo kimoja hapa Tz na sasa anafanya Phd yake safi!
 
Wakuu naomba kuuliza hivi humu jamiiforum kuna kijana yeyote ambaye yupo chini ya miaka 30 ambae anamiliki gari na nyumba.Yani ambae ametafuta kwa jasho lake bila kupewa au kurithi.

Nimeuliza hivi kwa sababu mimi nina miaka 25 na ndoto zangu ni kumiliki gari na nyumba kabla Sijaoa.Lakini kila siku zinavyo sogea naona ndoto inakua ngumu kutimia.

Nikipita barabarani au kwenye kumbi za starehe naona vijana wadogo wamepaki magari yao, basi roho yangu inaumia sana.

Hivi inawezekana kweli au ni ndoto za mchana hizi ninazo ota.
Inawezekana kabisa, binafsi nilianza kazi 2008 when I was 22, at 25 nilimaliza kumjengea mother house, married at 28 na kumaliza ujenzi wa nyumba yangu the same year, 29 I was already driving!
 
Mimi niliweza kufanya hivyo vyote nikiwa na Umri wa miaka 27 Aisee Vision yangu ilikuwa kupata numba yangu kabla haya ya hayo Magari Kwa uwezo wa Mungu niliweza kufanikisha hilo ndipo nikaingia hatua ya pili ya Gari tena kipindi hicho Escudo ambayo ilikuwa inaogopwa kwa Bei za Spea. Ila nikikwambi hela nilikuwa nazipataje siwezi kukwambia.

Lazima ujitoe Kafara kwa Muda fulani..

Ila kipindi hiki cha Magu haki ya Mungu tusidanganyane
Hichi kipindi cha Magu wenye hela ni Balimi na Halotel tuu basiii....
 
Back
Top Bottom