DAT BOY SU
Member
- Nov 15, 2017
- 29
- 30
Baada ya kupata uhuru hayati Baba wa Taifa Mwl Jk Nyerere alianzisha makambi ya JKT kwa vijana wanaomaliza chuo kikuu ama form six kujiunga na mafunzo haya kabla ya kuajiliwa Serikalini lengo lilikuwa mosi kuwafunza vijana hawa juu ya uzalendo kwa Taifa lao na kuipenda nchi yao kuliko kitu chochote, pili kujifunza stadi za maisha kama mafunzo ya kilimo, ufundi mbalimbali ili wanapomaliza mafunzo hya wapate kujiajili na tatu walijifunza NIDHAMU.
Hapa katikati haya mafunzo yalisitishwa kwa miaka kadhaa na matokeo yake yamekuwa sio mazur kwa taifa.
Athari zilizo jitokeza kutokna na kusitishwa kwa mafunzo hya ni pamoja na baadhi ya vijana wengi hasa wasomi waliopo serikalini, majumbani na wale walipo mavyuoni kukosa uzalendo kwa Taifa leo na kwa viongozi wao wa kitaifa kwa ujumla haya, mafunzo yamerudi tena lakini yapo ya aina mbili moja yale kwa mujibu wa sheria yaani vijana wanaomaliza kidato cha sita na yale ya kujitolea kutoka uraiani ila yote kwa pamoja hayatoi fursa ya kila kijana kutoka katika kundi lake kuhudhuria mafunzo haya ni watu wachache wamekuwa wakipata nafas hizo.
vijana inabid wapikwe na kupikika kwa ajili ya nchi yao, na wote kuungana kuitetea nchi yetu kwa pamoja. tukio lililojitokeza hivi karibuni ni ukosefu wa uzalendo kwa nchi kwa baadhi ya vijana mbya zaidi wengine ni viongozi wa vyama vya kisisa walijiingiza katika huo mkumbo pasina kujua wanadhima gani kwa Taifa na kuanza kueneza uvumi na uongo usio na faida yoyote ili kupata tu cheap popularity..