Kuna umuhimu wowote wa kuwa na Makamu wa Rais pamoja na waziri Mkuu nchini Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna umuhimu wowote wa kuwa na Makamu wa Rais pamoja na waziri Mkuu nchini Tanzania?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Piere. Fm, Mar 16, 2011.

 1. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jaman wana JF naomba tusaidiane katika hili hivi kuna umuhimu wa kuwa na makamu wa Rais pamoja na Waziri Mkuu Tanzania? Na kama upo ni kwa ajili ya kazi gani? Na Waziri Mkuu anafanya kazi gani? Maana sasa hivi kazi za Bilali nazozisikia ni kupokea wageni Ikulu na kupeleka salamu za rambirambi kwa balozi wa Japan nchin. Nisaimdieni katika hili jamani mimi mwenzenu sielewi!!
   
Loading...