Kuna Umuhimu Wa Watumiaji Wa Simu Kulipwa Na Kampuni Za Matangazo.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Ukipeleka Tangazo lako lolote iwe ni kwenye Tv au Radio Yakupasa ulipie

Kama vile Simu Yangu nayo imekua Ubao wa Matangazo naona Dstv...nk wakiweka kwa Screen ya Simu Matangazo yao

Siwezi Kulipwa na Hawa Jamaa?Manake imekua zaidi ya Kero
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom