Kuna umuhimu wa wanasiasa kuvaa sare za vyama vyao kwenye misiba ya kitaifa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,730
141,593
Binafsi nimeshangazwa sana na wanasiasa wa Morogoro walivyojaribu kuingiza siasa kwenye msiba wa kitaifa.

Niishie hapo tafadhali!
 
Huwa nakerekwa kupita kiasi, juzi nilienda kwenye mkutano wa hadhara na DC kuhusu maendeleo mtaani kwetu lakini ilibidi niondoke kabla mkutano haujaanza baada ya kuona kijani zinazidi idadi na MC akitia mapambo yao waliyoyazoea bila kujali kuwa wengine interest yetu ilikuwa tofauti na wao
 
Binafsi nimeshangazwa sana na wanasiasa wa Morogoro walivyojaribu kuingiza siasa kwenye msiba wa kitaifa.

Niishie hapo tafadhali!
Unajua maana ya sare?
Chama cha walimu pia wangevaa sare zao ungesema wanaleta elimu kwenye msiba wa taifa.?

Au askari na scouts na sare zao pia walileta ujeshi kwenye msiba wa taifa.?

"Usiruhusu upepo uvume sambamba na uwezo wako wa kufikiri"
 
Jenga tabia ya kufikiria jambo katika uhalisia wake,.. binafsi kwa maneno yako naona wewe ndio unaleta siasa katika janga la taifa.
 
Binafsi nimeshangazwa sana na wanasiasa wa Morogoro walivyojaribu kuingiza siasa kwenye msiba wa kitaifa.

Niishie hapo tafadhali!

Kuna watu nimewaambia wanaccm lazima wavae manguo yao ya ccm na kuleta siasa za kishenzi kwenye huo msiba. Wakawa wakali, nadhani sasa imedhihirika nilichosema.

Nb: haukuwepo hapa jukwaani siku mbili tatu, ulikuwa mahabusu nini?
 
Sorry kiongozi kuna uhusiano gani kuvaa hizo nguo na kuleta siasa msibani? Au hairuhusiwi kikatiba kufanya hivyo??
Binafsi nimeshangazwa sana na wanasiasa wa Morogoro walivyojaribu kuingiza siasa kwenye msiba wa kitaifa.

Niishie hapo tafadhali!
 
Unajua maana ya sare?
Chama cha walimu pia wangevaa sare zao ungesema wanaleta elimu kwenye msiba wa taifa.?

Au askari na scouts na sare zao pia walileta ujeshi kwenye msiba wa taifa.?

"Usiruhusu upepo uvume sambamba na uwezo wako wa kufikiri"
Mleta mada yuko specific kasema sare za vyama vya siasa, unaposema sare za jeshi ina maana hukumwelewa au.
 
Back
Top Bottom