Kuna umuhimu wa serikali kuwabana waajiri kwenye sekta binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna umuhimu wa serikali kuwabana waajiri kwenye sekta binafsi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fredy John, Aug 9, 2011.

 1. F

  Fredy John New Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajira binafsi siku hizi zinamatatizo kweli, muda waprobation umekuwa mrefu mno hadi miezi nane, mkataba umestate baada ya probation utaongezwa mshahara ila ukidai vitisho na hadithi zisizokuwa na mwisho. Pia kuna umuhimu serikali kutunga sheria ya minimum wage rate inaccordance with education level and experience....Aisee hawa wawekezaji wanatuexploit kweli halafu wenzao wanawalipa vizuri hata kama elimu zao ndogo an ukiangalia wage difference ni kubwa mno japokuwa mnafanya kazi sawa.... Maoni wenu wanajf
   
Loading...