Kuna umuhimu wa ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ?

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Kuna umuhimu wa ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ? maana kila report inaonyesha wizi kwenye kila sector lakini sijawahi sikia watu wakishugulikiwa.....labda zita saidia mbeleni serikali itakapo kwenda upinzani au CCM ikibadilika....zinaweza kutumiwa kushugulikia wahujumu uchumi..lakini kwa sasa ofisi ya CAG inakula pesa za walipa kodi tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom