Kuna umuhimu wa kuyasaka magenge yote ya kiuhalifu

Mukua

Senior Member
Sep 30, 2021
156
202
Kama huyu mmoja tu Ole Sangai amefanya ya kutisha hivyo , vipi kwa akina Poulo, Gambo, Muro, Humphrey na wengine wengi , wakifikishwa kwenye vyombo vya sheria si madudu mengi yatafahamika.
Zaidi itakuwa fundisho kwa wale ambao wakipewa madaraka kwao Yana geuka kuwa ulevi.
 
Tuanze na genge na matukio ya wasiojulikana, genge likilotamani uhai wa TAL, ngenge lililo mteka Mo, genge la viroba vya mitoni na baharini, Genge lililo mvunja mkt mguu. Genge la uchafuzi was chaguzi, genge na bambikia wapinzani, magenge ni mengi muda mchache, wadau naomba kusaidiane kuorodhesha magenge yote Kwa maandalizi ya hatua stahiki. 🏃.
 
Katika nchi zilizoendelea magenge ya uhalifu ni jambo serious sana na huwa hayavumiliwi.

Back
Top Bottom