Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Ukisusa wenzio wala !Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhinili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?