Kuna umuhimu wa kuendelea kuwaza mtoto hapa?

Nilichojifunza na hata ukisoma hoja na comments nyingi za humu JF kwa sasa utagundua wengi ni vijana wa sasa wasiojitambua na wasio na msimamo katika maisha yao. Wengi wana "mentality ya kizungu na kitamthilia" kwani kuna vitu vingine kuviandika na kuomba ushauri kwa wengine ni aibu. Hilo suala kwa mwanaume na sio mvulana lilikuwa limeisha muda. Ni kupiga chini toka ulivyoanza tukanwa alafu kaka yake kukupiga beat. Suala la mtoto atamtafuta baba yake tu wala lisingekufanya kuwa mtumwa wa mwanamke.
Nilifanya hivyo mkuu...na Sasa nafurahia maisha mpaka kitambi kimeanza
 
Sijui kwa nn hawa watu hawaishi,Muwe mnahudhuria vikao jamani..Haya mambo tumeyazungumza sana! Mnatuchelewesha bure.
Kutokujua tu....Kama itakuwa hivyo

Moyo was mtu kiza kinene Kila mtu anakuja kwako kwa Nia yake (nzuri au mbaya)
 
Hujashusha huyo mtoto anaweza sema anamtia nuksi ya kuolewa au kupata kazi na akaja mbwaga kwa babayako sijui utafanya nini?.jihesabie any thing may happen.
Am ready for any thing, if is my child I will take care of her...

Sababu uwezo ninao mzuri, mshahara wa kuendesha maisha unanitosha kwa familia hata addition pia it's ok..
 
TANGU ALIPOKWAMBIA "Hata chuoni nilikuwa nafanya hivyo hivyo tu...nyumbani hakuna atakayejali".

NA WEWE ULIVYOKUBALI KAMA BWEGE...

NDIPO NILIPOJIRIDHISHA WEWE NI BWEGE MTOZENI.
Jamaa alikua na kisichana kin akili za kitoto sana eti Ata ni kipata mimba nyumbani hawawez Fanya chochote ,mara hata nikfka nyumbani hawana Cha kupoteza ,mara hata chuoni nilkua nafanya hivyo hivyo tu .manayake kalikua hakajali kama Kuna magonjwa au Raha liwalo na liwe twende tu
 
Tangu mwanzo haukupendwa ila ulilazimisha mahusiano,binti mwenyewe cha wote ukajiweka mzima mzima na bado akataka kuchoropoa mimba king'ang'anizi umo tu kakutukana weeee bichwa kubwa walaaa ndo kwanzaa umezama mazima.

Kuleta uzi hapa ni kutaka faraja feki. Ulifanya makosa tangu mwanzo
 
Ilikuwa mwaka Jana nilipokuwa nafanya kazi kwenye taasisi Fulani. Alikuja binti mmoja kuajiliwa Aneth (sio jina lake halisi), baada ya kuajiliwa ile taasisi ilikuwa na mambo ya hovyo Sana hasa kwa wanawake, sio mkuu, mkurugenzi, au Rafiq wa mkurugenzi.
So nilianza kumwelekeza Nini Cha kufanya ili aepikane na uhayawani huo mwisho was siku tukajikuta tuko kwenye uhusiano.

Tulianza uhusiano sex mwezi wa nane tareh 30, ila kabla hatuja kutana nilimwambia naomba nijue tarehe zako ili tuepuke mimba,

Jibu alilonipa Ni kuwa, MIMI CHUONI NILIKUWA NAFANYA HIVYO HIVYO TU.

Dah, nikanyamaza tukaendelea na mchezo.
nilimuomba tarehe mpaka Safari tatu, lakin jibu alilonipa Ni lilelie,

Haya, nikamwambia ikitokea umepata mimba itakuwaje
Jibu, NYUMBANI HAWAWEZI KUNIFANYA LOLOTE.

Nikaona isiwe shida acha tuendelee ku do tu. Sasa kweli nilikuwa na Nia nae ya kumuoa, na tulienda mpaka ilipofika mwezi wa kumi.

Kituko Cha Kwanza.
Kutoa mimba.
Hapa alianza Kila kukicha nataka nitoe hi mimba siwezi Lea mtoto, nikamwambia nilikuuliza mwanzo ukasema HAWAWEZI KUKUFANYA CHOCHOTE, vipi Tena..

Akasema by any means I want to abort this pregnant. Nikamwambia ukitoa mimba kuna madhara makubwa yanaweza kukupata ikiwemo 1. Kufa. 2. Kuharibika kizazi. 3. Kuwa na vidonda visivyo pona. 4. Utawapa wazazi wako kazi ya kukutibia.

Akajibu. HATA NIKIFA FAMILIA YANGU HAIWEZI PATA SHIDA.

Duh, hapo ilibidi akili nyingi itumike, ilibidi NIBADILI UHUSIANO NIVAE VIATU VYA KUWA KAMA KAKA YAKE nikawa mshauri na kumridhisha tu kuwa nitakuletea dawa utoe.

Wakati huo nilikuwa nishaongea nae kuhusu kwenda kujitambulisha ili taratibu za kumuoa zifanyike.

Kweli mwezi wa 12 nikaenda kujitambulisha, but hakuna alokuwa anajua kuwa ana mimba ya miezi 4.

Basi bwana, utambulisho ukafanyika na Kila kitu Kika kaa SAWA.

Vitimbwi vinaanza.

Yule binti 28years akasahau kuwa mimi kazi yangu Ina mshahara mdogo tu by then 180' k kwa mwezi.

Akawa anataka nimnunulie vitu vya gharama kubwa as if ana mashindano ya uvaaji,

Mf. Niliambiwa ninunue dera, akawa anataka 160k' ya Madera tu, wakati huo alisema hawezi jifungulia hospital nyingine zaidi ya bugando.

Nilipoona Sasa haya sio mahusiano Bali Ni kupigana pesa nikawa nqmzingua, coz niliona kuwa hapo hakuna mke kabisaa,

Ilifika hatua akaniambia she was to me just for money and not otherwise. Aisee nilijutia what I did, but sikujua that's a problem.

Kweli nilijikaza tu hivyo hivyo ili maisha yaende.

But, Kila tukikosana anashitaki kwa kaka yake so kaka mtu anaingilia ugomvi na kunituhumu mm ndio Nina makosa.

Yani Ni kuwa et..yule mdada akinitukana Mimi ninyamaze tu nisimjibu chochote hilo nilifanya mwanzoni kipindi najua kuwa she is my upcoming wife to be. Lakin nilipokuja just tabia yake aoohhhoo nikaona Ni ujinga kuvumilia ujinga.

Basi, niliendelea hivyo hivyo na suala la kwenda kupanga mahali nikapiga chini cos she said herself that she is not after marriage but money.

Na, hapo she is a graduate student from udom 2019. Nilishangaa Sana graduate unaleta mambo ya kipuuzi kwenye mamboyamsingi.

Muda was kujifungua ulifika, akaenda kujifungua bugando na nilijitahidi walaunikatoa pesa yote ya kukifungulia by then it was may. So akawa amejifungua.

Shida ikaja Tena, kuna nguo za mtoto ambazo nilikuwa nimemuandalia zilikuwa ximetumika kidogo na watoto wa sister na zingine baadhi tukanunua, akamtuma mtu akaja kuzichukua

Sijui alikuwa anawaza Nini hata sielewi (nilishangaa) anaanza kusema mtoto wangu hawezi kutumia nguo zilizotumika but anatakiwa atumie nguo mpya tu aisee nilichukia ila Basi nika kaa kimya.

Jina nalo nilikuwa nimeshaliandaa la kumpa mtoto, haa alipojifungua ikawa kesi Tena eti unatoaje jina hata mtoto hajazaliwa nikamuuliza kwani shida iko wapi hasa..et kutoa jina mapema ndio shida ikawa kesi Tena.

Basi bwana, nikaja kwenda kwao coz kuna sister ake aliniambia unatakiwa umuone mwanao. Nikampigia kumpa taarifa kuwa nakuja huko hakupokea cm nikaona isiwe shida mimi naamsha tu liwalo na liwe what matters is to see my kid ambae nilisimama Kama malaika coz angekufa Bado tumboni.

Kufika kwao, mzee anakuja anasema kwa kuwa nilimpa ujauzito Basi sio rahisi kumuona mtoto, Mimi Ni mtu flani najijua na najua kupuuzia (nikapuuza nikajisemea moyoni sio kesi) labda ningekuwa nimeua sawa.

Akasema ili nimuone mtoto inabidi mzee wangu aende wakapange pesa ya kulipia ndipo nitaruhusiwa kumuona.

Shida ikaja sisi Mila zetu haziruhusu kulipia mtoto Kama Ni wangu. Nilirudi home nikamwambia mzee Kama mtoto Ni wangu sitaki uende kupanga pesa ya kumlipia, labda ningekuwa sijatoa pesa yoyte toka mwanzo ndio ukaamlipie.

Ikawa hivyo, tukaendelea na mawasiliano ya hivyo hivyo wakati huo Mimi hisia na yeye zilisha Isha mpaka moyo umebaki Kama chungu empty,

Baada ya hayo mambo kuwa yameisha, tarehe 30.8.2021 akanitafuta kwa chokochoko zake sikutaka shida saana Bali kumuigizia tu ili akae kimya.

Siku hiyo, nilirudia kauli zangu kwake
1. UKUBALI KUWA NA MIMI AU UACHE YOTE SAWA.
2. HUYO MTOTO SIO LAZIMA SAANA TUMGOMBANIE CHA KUFANYA WEWE ISHI NAE TU, ILA KUMBUKA MWANZO ULITAKA KUMUUA AKIWA TUMBONI. KWA SASA JIVUNIE KUWA NAE.

Hapo kwa upande wangu ndio nilikuwa na finalize relationship. And in short Mimi nilikuwa nimesha apa siwezi oa huyo Dada. Ni mzigo Sana.

Siku moja akanitumia text...zinasema.
1. Ni Bora huyu mtoto aishi bila baba
(Nikamjibu ok)
2. Huyu mtoto hutamuona, hata kanyaga kwako Wala kwenu (kwa Bibi na Babu yake)
( Nikamjibu sawa)
3. Huyu mtoto hujawahi kumchangia chochote mpaka Sasa so unajivuna vipi kuwa Ni wako
(Nikamjibu ahsant)
4. Huyu mtoto atabaki kuwa wangu na itakuwa hivyo.
(Nikamjibu sawa)

Wakati anamitumia hizo txt zote nilikuwa namforwadia kaka ake ili aone Kama Ni kweli alichokuwa anaambiwa kuwa Mimi Ni mkorofi, nilitaka kuchezea maisha yake

Mbaya zaidi alimweleza mama yake kuwa Mimi nilitaka KUMUUA
(Hapo nikakumbuka kuwa Ni kweli walioko gerezani sio wote wenye makosa)

Nilianza kujiuliza huyu ndio mke nilitaka kumuoa??? Kweli....mhhh.

Mbaya zaidi, baada ya kujifungua akawa akipigiwa simu na wazazi wangu hapokei, alafu nikipiga kumuuliza anasema et..apokee simu zao zitawasaidia Nini??

Ilibidi niwashirikishe wazazi wangu na kuwaeleza Mimi huyo mwanamke siwezi kuoa, na kuanzia mwaka Jana sijawasiliana nae mapka Sasa.

Flashbacks, nilifuatilia kipindi Fulani simu yake no ikakuta kuna message amechati na wanaume I miss you n.k..

Sasa mpaka Sasa sijui huyo mtoto kweli Ni wangu au sio. Na Sina hata hamu ya kutaka kumjua Wala kurudiana nae.

Akaekimya milele namm nikae kmya milele. Basi.

Uzuri nilikuwa na mtoto ambae nilikuwa nimesha zaa na mdada mwingine kutokana na situation Fulani Fulani na kauli lakin mahusiano yalikuwepo na ilifikia hatua nikamsamehe kwa makosa tutaendeleza maisha.

Jamani ivi kweli hapo huyo Dada alikuwa na Nia ya kuolewa, au alikuja tu kwangu kupumzika kwa muda.

Kwa kweli Mimi sioni haja ya kwenda kumlipia huyo mtoto. I'll aje kwangu au nimuone.
Sidhani Kama nitakuwana makosa katika Hilo.

Je, kuna madhara yoyote Kama Nina mtoto nje, but mama watoto huyu hajui Kama nilisha zalisha litoto la watu huko mbali

Sio mjuzi Sana wa kuandika, so wajuzi wa mambo mnaweza sema chochote hapa.

Farewell single mother "Kim Aneth"

Povu na matusi sitaki.
By "mind your own business"
Nilichotaka kukushauru tayari ushafanya, deal with your life.
 
Tangu mwanzo haukupendwa ila ulilazimisha mahusiano,binti mwenyewe cha wote ukajiweka mzima mzima na bado akataka kuchoropoa mimba king'ang'anizi umo tu kakutukana weeee bichwa kubwa walaaa ndo kwanzaa umezama mazima.

Kuleta uzi hapa ni kutaka faraja feki. Ulifanya makosa tangu mwanzo
punguza ukali wa maneno
 
How old are you brother..?
 
TANGU ALIPOKWAMBIA "Hata chuoni nilikuwa nafanya hivyo hivyo tu...nyumbani hakuna atakayejali".

NA WEWE ULIVYOKUBALI KAMA BWEGE...

NDIPO NILIPOJIRIDHISHA WEWE NI BWEGE MTOZENI.
Kiufupi jamaa Ni taahira, na Bado anampenda sana hana ubavu wa kumuacha huyo dada, nawahurumia baba na mama yake
 
Mjita wa wapi muoga wa wanawake hivyo, Kwanza mwanaume wa ndio kwa kila kitu mi sipendi mwanaume wa kupelekwa km mjinga nakosa Raha na hamu nae kabisa,, hebu kuwa mwanaume umelegea mno
 
Mleta Mada,
Wewe nafasi yako ni nini kwenye suala lote hili? Inaonekana kila kosa hapa amefanya huyo mwanamke peke yake, ila wewe huna kosa kabisa? Ni kweli huna kosa kwenye hili? Huoni kwamba wewe ulikuwa na nafasi ya kuyaepuka yote haya? Kwamba yote haya yasingetokea bila wewe kujihusisha naye? Kubali kataa, huyo sasa ameshakuwa mzazi mwenzio, ni mama wa mtoto wako. Yeye hakujipa ujauzito mwenyewe, na wewe ulihusika, na ulikuwa na nafasi ya kuyazuia haya yote yasitokee, lakini kwanini hukufanya hivyo?

Akiitwa huyo mwanamke hapa aelezee kilichotokea unadhani atasema nini kuhusu wewe!!??

Jifunze kuwajibika kwa makosa uyafanyayo sio kila mara kutupa lawama kwa wengine wakati nawe una nafasi ni sehemu muhimu ya kuchangia ukubwa wa tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom