Kuna umuhimu wa kuendelea kuwaza mtoto hapa?

Ushauri wangu, pamoja na yote aliyokutendea, usiache damu yako ikapotea! Rudi ujihakikishie ni damu yako 100% halafu itunze, ithamini, ijali na ukifika muda mchukue mwanao umlee mwenyewe! Usipende sana mwanao kulelewa na watu baki usiowajua!
Mtoto wamemkatalia...it's just like a plan of the family.
Mzee wake anasema mpaka baba yangu aende.
Yeye mwanamke anasema Haina haja ya kumhudumia atahudumiwa na walio mlea huoni hapo Ni game inachzwa nilipokuwa makini wataniyumbisha Sana.

Acha nibaki na Mimi na msimamo want tu..siku wakiona inafaa kumuona mtoto watanitafuta wasipoona it's fine yote maisha
 
Acha kumkumbuka mpumbavu huyo mtoto huyo n wa kiume au wa kike?Me naona kama hy tt akija kua mkubwa kubwa ufatilie uwe unatengeneza mahusian nay awe anakuita hata uncle ukiona kama kawa mkubwa umri wa balehe mweleze ukweli ww n babake... Kama n mtt wa kiume atarely san kwako... By ending damu yako isiende bure af mama yake hatakiw kujua ye awage anasikia nen uncle 2 lakn acje kuona...
Mtoto ni wa kike..

Alafu tuko mbali Mimi Niko shy yeye musoma so kufanya hivyo Ni ngumu
 
Kama una uhakika wa Mtoto kuwa ni damu yako jitahidi kuwa karibu na huyo Binti huyo hata Kama ni kinafiki ili siku moja Mtoto apate uwepo wa Baba maishani mwake hasa akiwa ni Mtoto wa kike akikua bila malezi ya Baba atakuwa mtihani kwenye maisha ya watu wengine huko mbeleni .na huyo Binti ni kabila gani ?
Kuna baadhi ya makabila hauruhusiwi kutoka Mtoto Kama hautambuliki Kama mme wa Binti Yao .
Ni mnyantuzu (bariadi na viunga vyake huko mkuu)

Mimi ni mjita from musoma
 
Hapa tatizo ni hiyo kazi unayofanya ya kukuingizia 180k,ni pesa haitoshi hata kumsomesha Mtoto wa Kidato cha kwanza hata jitegemee secondary school ukikusanya hata kwa mwaka mzima,huyo Mwanamke alikuwa na nia nzuri ya kukupa gharama kubwa kuliko mshahara wako ili akili yako ikuwe ufikirie nje ya box kutafuta pesa zaidi!,mkuu kila mtu anakuja maishani mwako ili ujifunze kitu!
Wewe unakimbilia kulia lia hautatoka hapo ulipo
Mkuu baada ya kuvunja mipaka nikatafuta Chaka jingine saivi napokea 370'k kwa month,
Nmepata mpaka bima ya afya.
Nasomesha mwanangu shule kwa kukatwa asilimia 50 per month,

Hiyo 370k Ni baada ya makato yote. Na Kila mwaka napnda mshahara kwa aslimia 5 mkuu.

Ninamaisha mazuri tu na mola akijalia mwakwni navuta jiko
 
Hapa tatizo ni hiyo kazi unayofanya ya kukuingizia 180k,ni pesa haitoshi hata kumsomesha Mtoto wa Kidato cha kwanza hata jitegemee secondary school ukikusanya hata kwa mwaka mzima,huyo Mwanamke alikuwa na nia nzuri ya kukupa gharama kubwa kuliko mshahara wako ili akili yako ikuwe ufikirie nje ya box kutafuta pesa zaidi!,mkuu kila mtu anakuja maishani mwako ili ujifunze kitu!
Wewe unakimbilia kulia lia hautatoka hapo ulipo
Sijalialia mkuu...yeye nilimwambia nalipwa laki na nusu ili nijue akili yake baads ya kusema she was after money.

Ukweli kipindi hicho nilikuwa napokea 250 basic 225'k
 
Sijui kwann mabinti wengi sahv wako hv

Kuna mjinga mmoja nilimpa ujauzito,vitenge vya kujifungulia naambiwa vinatakiwa viwe saba pair pair

Nguo za kulelea mimba tano,wakati zingine alikuwa nazo zinazofaa tu lakin akataka mpya

Kuhusu nguo za mtoto hataki zilizotumika,anataka mpya nazan ingekuwa hv hata zaman sjui hata kama baba zetu wangetoboa

Unaandaa jina,lakin anatoka kujifungua kachagua lake

Ndo maana vijana wengi siku hz hawataki kabisa kukaa na hz ngulu mbili

Wadada wengi siku hz wanataka kuishi maisha ya kishua wakati hata hawajui kuyatafuta na hata kwao hayapo
Yote hay yalinikumba mkuu...Yani.
 
Mbona umesahau chakula cha mzazi?
Jamaa yangu ulitakiwa ujiandae mapema sana kwenye hili.
Walau ungemkabidhi hata fungu kadhaaa kwa aji ya uzazi.
Vingine nilikuwa nishampatia, Kila ukimaliza anaongeza kingine ambacho hwkikuwa kwenye budget...alitaka kujilimbikizia pesa.


Na alikuwa hataki nimnunulie et ntanunua vitu vibaya visivyo na ubora..ila nimpe pesa tu
 
1. Mwanamke hakuheshimu.

2. Mwanamke hakupendi.

3. Mwanamke hakujali.

4. Mwanamke anawadharau wazazi wako.

Mwanamke anakuambia hakuwa na nia na wewe ila pesa zako, bado unabaki kubembeleza?


Mwanamke mkikorofishana anapeleka kesi kwa kaka kisha kaka yake ndiye anaye kufundisha jinsi ya kuishi naye??

Anyway, tuache yote hayo. Ngoja nikupe siri mkuu kuhusu hawa wanawake :-

Mwanamke akishakukubalia na kuwa tayari kufanya lolote na wewe, hiyo ni hatua ya kwanza ya safari.


Hatua ya pili, anza kujifunza vitu zaidi kumhusu, yaani msome kiundani mpaka ujue mapungufu yake na uimara wake ulipo.


Ukishamfamu, tengeneza mazingira ya mwanamke kukuona wa tofauti na wanaume wengine, yaani mtengenezee mazingira ya kukupenda wewe na kuonyesha kukuhitaji sana kuliko wewe mwanaume unavyomuhitaji.



Ishi naye kwa kumuonyesha uwe naye usiwe naye hakuna kitu utapoteza na mchukulie wa kawaida sana.



Lengo kuu, mfanye mwanamke akuone wewe ni mwanaume wa kipekee sana.

Ukifanikisha hayo, sasa unaweza kuendelea na hatua zingine.



KWASASA:

Mpotezee ikiwezekana block number kabisa na usimtafute Tena.

Wakitambua umuhimu wako hata wazazi wao watakutafuta, tofauti na hapo ni unajipa umuhimu kwenye maisha ya watu jambo ambalo kama MWANAUME hupaswi kulifanya.



Wanawake huwa wanatusoma mwanzoni kabisa tunapoanza nao mahusiano, hivyo usipomuwahi kumsoma na akakutangulia kukusoma na kujua madhaifu yako lazima atakuendesha.


Halafu tuepuke kuhusianisha kiwango cha Elimu ya mtu na busara aliyonayo.

Kuna watu wana PhD ila busara hawana hata kidogo, vitu vingine ni Malezi ya mtu, mazingira na watu alionao karibu ndivyo vinavyomfanya awe alivyo.
Nqkaribia mwaka sijawasiliana nae...na sitathubutu
 
TANGU ALIPOKWAMBIA "Hata chuoni nilikuwa nafanya hivyo hivyo tu...nyumbani hakuna atakayejali".

NA WEWE ULIVYOKUBALI KAMA BWEGE...

NDIPO NILIPOJIRIDHISHA WEWE NI BWEGE MTOZENI.
Hapana Yani alikuwa Kama anatania..coz Ni katika story za hapa na pale kudadisi moja mbili hivi..
 
Dah..nilivumilia tu nikijua Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

Hatimaye mwaka Jana ikawa mwisho. Nilihisi nimeshusha gunia la misumali kwenye kichwa chenye upaa.
Hujashusha huyo mtoto anaweza sema anamtia nuksi ya kuolewa au kupata kazi na akaja mbwaga kwa babayako sijui utafanya nini?.jihesabie any thing may happen.
 
Sijui kwa nn hawa watu hawaishi,Muwe mnahudhuria vikao jamani..Haya mambo tumeyazungumza sana! Mnatuchelewesha bure.
 
Nilichojifunza na hata ukisoma hoja na comments nyingi za humu JF kwa sasa utagundua wengi ni vijana wa sasa wasiojitambua na wasio na msimamo katika maisha yao. Wengi wana "mentality ya kizungu na kitamthilia" kwani kuna vitu vingine kuviandika na kuomba ushauri kwa wengine ni aibu. Hilo suala kwa mwanaume na sio mvulana lilikuwa limeisha muda. Ni kupiga chini toka ulivyoanza tukanwa alafu kaka yake kukupiga beat. Suala la mtoto atamtafuta baba yake tu wala lisingekufanya kuwa mtumwa wa mwanamke.
 
Back
Top Bottom