Kuna umuhimu wa kuanzisha Mahakama ya Kimataifa kupambana na Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna umuhimu wa kuanzisha Mahakama ya Kimataifa kupambana na Ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shiezo, Jun 7, 2011.

 1. s

  shiezo Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uzoefu unaonesha kuwa watawala wa Kiafrika huwapa vyeo jamaa zao katika taasisi nyeti za dola ili wasichukuliwe hatua wanapofanya ufisadi. Kuna umuhimu wa kuanzisha Mahakama Huru ya Kimataifa ya kupambana na ufisadi ili kudhibiti nyendo za watawala hao kwa kuwa vyombo vilivyoko sasa hivi haviko huru.
   
 2. g

  gambatoto Senior Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee, sijakupata bado. Je, wewe unasemaje, ni swali au pendekezo?
   
 3. s

  shiezo Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hilo ni wazo mkuu
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wazo murua mno!!

  Big up mwana JF!
   
Loading...