Kuna umuhimu wa kuandika vitabu kuhusu maisha ya mwanasiasa Godbless Lema

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Nafikiri wataalamu na waandishi wa vitabu wanaweza kuandika historia ya maisha ya mwanasiasa Godbless Lema(biography) tangu utotoni mpaka sasa ambapo ni mbunge wa Arusha mjini kwa ticket ya Chama cha Demekrasia na Maendelea(CHADEMA).

Vile vile mh.Lema wewe mwenyewe unaweza kuanza kuandika "autobiography" yako ukiwa bado uko mahabusu.
 
Kungekuwa na jipya labda
 
CC: Mwanahabari Huru
 
Lema is a criminal. Over.
 
Happy Xmas n new year in advance lema huko gerezani....ila nafikir kwa Sauti kwann wanaogopa kumpa dhamana
 
Lema ni icon wa Arusha hata wafanye nini Lema ataendelea kuwa bora, Lema akipita watu wote wanajua kuna mtu anapita, sijui kwa nini wanashinda na nguvu iliyo ndani ya mtu ambayo ni zawadi kutoka kwa Mungu?!
 
Mwandikie wewe. Unakosa kalamu nikuletee?. Mpe happy xmass na mwaka mpya in advance akiwa Kisongo.
 
Back
Top Bottom