Kuna ule msemo usitongoze au kuoa siku ya sherehe, nimeamini.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kuna ule msemo wa kiswahili kua usior au kutongoza mwanamke siku ya sherehe kwa sababu siku hiyo kila mtu atakua kapendeza, amevaa vizuri, ananukia vizuri na pia amejiremba vizuri.

Sasa mimi kwa kujaribu kukiuka(defy the odds) nikajifanya mjanja, nikatongoza siku ya sherehe(harusi ya mfanyakibarua mwenzetu), mtoto akaingia kingi ila ikawa shida ya kwenda kumtindua, tukakubaliana siku zinazofuata aje nikamtindue, ebwanaeee, siku ya siku kabla hajaja nikamtindue nikakutana nae mahala pengine kwenye ofisi nyingine ya umma, nilitamani kulia, haki ya mungu kama kusingekua na watu ningelia, sikuamini macho yangu ni mimi huyu msomi namba moja kanda ya ziwa nyanza na afrika mashariki na kati kwa ujumla nilikengeuka na kujaa upofu mkubwa hivyo nikamtongoza yule mwanamke?

Ama kweli nimejifunza sio kila msemo wa wahenga unapaswa kudharauliwa, mingine tuiheshimu tu. Kima mama mtakuja kutuua na haya ma-makeup yenu.
 
Sasa wewe ni msomi was kiwango gani mpaka umeshindwa kudadavua vitu vidogo Kama ivyo,makeup ndio ulikuwa mtego mgumu kwako?
 
umenifilisi mkuu, nimejaribu kuunganisha content ya uzi na namba yake moja ya usomi anayoishikilia huko kanda ya ziwa, nimebaki kushangaa tu!
 
Kuna dem nilikutana nae Arusha kwenye harusi alipendeza balaa, alikua maids mmoja wapo, yeye ni mwenyeji wa Dar kama ilivyo mimi, tukabadilishana namba za simu, baada ya siku mbili kaweka status picture yake bila zile make up, wallahh kidogo nindoshe simu yangu, saa hii kila akipanga appointment namkwepa.
 
Back
Top Bottom