Kuna ulazima gani wa kufanya mapenzi kabla hamjaoana?

Bujibuji;1446954[COLOR="red" said:
]Hebu ambao hawajaoa wajaribishe kutoshiriki mapenzi kabla ya ndoa[/COLOR],
wale walio anza kuonjana wao tuwaache tu waendelee kuridhishana

Wape basi kitu mbadala cha kufanya wakati wa uchumba...may be wavute bangi kwa sana, au wabwie unga ili kupunguza mihemko?

Nadhani tuache theories kwenye mambo ya msingi..Kama wana sababu za msingi za kusubiri kabla ya ndoa na hawana kizuizi kingine kama kubanwa na imani zao, kwa nini wasijiachie? Ila kama ni binti yangu ahakikishe haleti mchumba wake au huyo BF nyumbani kwangu!
 
Wape basi kitu mbadala cha kufanya wakati wa uchumba...may be wavute bangi kwa sana, au wabwie unga ili kupunguza mihemko?

Nadhani tuache theories kwenye mambo ya msingi..Kama wana sababu za msingi za kusubiri kabla ya ndoa na hawana kizuizi kingine kama kubanwa na imani zao, kwa nini wasijiachie? Ila kama ni binti yangu ahakikishe haleti mchumba wake au huyo BF nyumbani kwangu!

Mkuki eee...
Anyway, kwa kweli mimi sioni umuhimu wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa. In short, ni DHAMBI (whether you like it or not, na unalitambua hilo)
Babu DC, umetoa excuses nyingi kuhlalisha uyasemayo lakini kumbuka, we do not make a rule out of an exceptional situation. Ni percentage ngapi ya wanawake ni Semenya? Ni wanaume wangapi hawasimami!?? Na je hayo hamuwezi kuyafahamu wakati tu wa urafiki na kuchumbiana?
Sasa je utafanya na wangapi ili ujue anayekuridhisha?
Kuhusu mambo ya kufanya inategemea na interests zenu, ila there is a lot to do while courting such da hata muda wa kufikiria ngono hamtapata.
Kama mko chuo, think abt involving yourselves in extra-curricula activities, community projects, spiritual groups, something that will most times keep u around people but you also have your quality time. Shida inaokea (na hili nimeliona sana) pale mnapotaka kukaa pamoja tu kila mahali mfatane kama mambuzi bila ya kuwa na kitu cha kufaya, lazima shetani awatumie tu kwani an empty mind is the devil's workshop.
There is alot to do..na mzee Bujibuji kama kweli uko sincere na swali lako, nadhani utachukua jibu hili..
Usidangayike, chukua hatua..amua kusubiri!
Kuna mwanafilosofia aliwahi kusema: Kuna raha mbili kubwa duniani, ile ya kufaulu mtihani na ile ya usiku wa kwanza baada ya ndoa...don't trade this for any simple cheap ungodly advice!
Ubarikiwe...

*Na just as an addition, unapofanya ngono nje ya ndoa, kuna ile feeling ya worthlessness. unakumbuka mara ya kwanza umelala na msichana alafu hakuwa bikra ila yeye ndo alikuwa wa kwanza kwako? ulijisikiaje??!!
But above all..Ni dhambi, i guess that should be enough a reason not to..
 
Unajua unaweza KUMPENDA Binti kutokana na HOUSING yake kwanza!!
Baadae utataka kumwona alivo sasa hapo ndo patamu!!
Unajua kila mwanaume anapenda vi2 fulan kwa Mwanamke inabidi avijue kabla ya kuingia kwenye NDOA!!
Moja wapo ndo hicho!!!
 
Jaribu viatu ungali dukani. Kuweni mbayuwayu: "Akili za kuambiwa, chnganya na za kwenu".

Haswaa na kwanini uuziwe mbuzi kwenye gunia? Kuonjana lazima aisee, huwa nawasikitia sana wanaume wanaopiwa mchanga wa macho na mabinti eti kama unanipenda subiri mpaka siku ya harusi yetu! Pheeew! Demu anachakachuliwa mtaani wewe umekaa tu kama zoba!
 
Unajua unaweza KUMPENDA Binti kutokana na HOUSING yake kwanza!!
Baadae utataka kumwona alivo sasa hapo ndo patamu!!
Unajua kila mwanaume anapenda vi2 fulan kwa Mwanamke inabidi avijue kabla ya kuingia kwenye NDOA!!
Moja wapo ndo hicho!!!


Mbona unazungumzia upande wa wanaume tu? Hata mabinti pia watanakiwa kuonja ladha na mumewe mtarajiwa, asije kukuta hata jogoo hapandi mtungi vizuri!
 
Nauliza tu

E Mungu, naomba unisamehe, na uwasamehe wachangiaji wote wa jukwaa hili mana hawajui walitendalo na walisemalo. Mungu umetuumba kwa mfano wako tena kwa nanma ya tofauti na viumbe wengine, umetupa akili ya kutambua uovu na ubaya , lakini mbona tunasahau ukuu wakao, tunakata kazi zako? maana umesema kila kitu umekifanya kwa makusudi yako. zaidi sana tumekosa shukrani na tumejitafutia njia zetu wenyewe za kuenenda. Maan umenea wazi kwamba ipo njia ionekanayo ni njema machini pa mwanadamu lakini mwisho wake ni mbaya.

Msamehe Kiranja mkuu, coscated, simbala winyo, paulss,Jabali, Drk city,s.fm, Masaki, Eng. smasher funza dume, kaburaye, mdoe bujibuji na wengine wote waliochangia katika thread hii. Natambua kwa kiasi gani umekasirishwa na ushauri wao kwa jamii, kuifanya jamii iamini kinyume na mpango wako kwa wanadamu. Maana hata tukisema tuongeze unywele mmoja ni kitu ambacho hatukiwezi.

Usiwaangamize kama sodoma na gomora maana najua haya yanayo tendea leo ni zaidi ya sodoma na gomora, naomba wasamehe na wape nafasi ya kutubu , fanya mako ndani yao, badili mioyo yao iliyoharibika, iliyo jaa udhalimu , isiyo na hofu yako wala woga wa maovu.

Mungu wa yakobo, isaka na ibrahimu,naomba kwajili ya vijana wenzangu maana najua waliopo hapa wanawakilisha wengi, uwaokoe waijue kweli yako, wakuabudu wewe tuu maana natambua siku ile inakuja na unashangaa ni ubaya gani tulio uona kwako hata tumegeuka kuwa kama wanyama??.

Mungu wangu nakushukuru naamni umesikia mambo haya.

.
 
Kuna wengine ni kama semenya.
Unaweza kufikiria umepata binti, ukamuoa, kwenye honey moon ndio mnakutana wote mmesimamisha mitarimbo.
Kudadadadadadadeki, sijui utatokea mlango gani?

Pleeeeeeeeeeaz! Stop it! Am dying!
Hatimae nimeongeza miaka ya kuishi kwa kicheko kikali tangu 2011 ianze
 
Kuna jamaa yangu alijidanganya, akidhani ataonekana mwanaume wa shoka kwa dem wake asipomuomba sex mpaka wafunge ndoa. Na jamaa alimpenda kinoma huyo demu. Kumbe demu anataka kuonja uroda wa jamaa, akawa anaogopa kumwambia.
Akajitokeza chek bob fulan, akam-mwagia sera dem, akaombwa mechi, wakazichapa. Chek bob akaamua aoe kabisa. Huku jamaa anapata taarifa dem ana tumbo la miez miwili ndani ya ndoa.
Jamaa amekuwa kama chizi saa hizi, anaongea peke yake, anachukia kila mwanamke anaekutana nae
 
Lakin bado inabaki kuwa, kiiman kufanya kabla ya ndoa ni dhambi, ila kwa kuwa kila aombaye msamaha kwa dhati husamehewa, watu hushiriki kabla ya ndoa, baadae huja kutubu.
 
Kuna wengine ni kama semenya.
Unaweza kufikiria umepata binti, ukamuoa, kwenye honey moon ndio mnakutana wote mmesimamisha mitarimbo.
Kudadadadadadadeki, sijui utatokea mlango gani?

Mbona hivyo mzee, m=ogopa kazi ya muumba wako
 
muhimu sana..

mmmhhh kabla hata hujaolewa au oa...
umesha gawa pipi za kutosha

yanini umnyime atakae kuoa/olewa...

ni wachache sana ambao wananunua nguo hawajaribishi..

peace..
AD
 
muhimu sana..

mmmhhh kabla hata hujaolewa au oa...
umesha gawa pipi za kutosha

yanini umnyime atakae kuoa/olewa...

ni wachache sana ambao wananunua nguo hawajaribishi..

peace..
AD

Hilo ndio tatizo kubwa.
Sasa tunabadilika vipi?
Kwani ni lazima kuwa WAZINIFU?
 
Hilo ndio tatizo kubwa.
Sasa tunabadilika vipi?
Kwani ni lazima kuwa WAZINIFU?

mmmhhh kubadika kwakweli hilo ni chaguo la mtu binafsi...

uzinzi tumeipeleka to another level miaka hii...
kipindi hicho cha miaka ya nyuma hata chupi ya mtu huoni
sasa hivi ndo tunapambia bahari zetu..

kama babu alivyosema hichi ni kizazi cha dot.com
 
Back
Top Bottom