Kuna ukweli wowote?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,810
39,018
Mwanaume akiwa na ela ny.yegge zinakuwa ziko juu sana....hakiishiwa zinakuwa chini.Na kwa mwanamke akiishiwa zinakuwa juu sana,na akiwa na pesa zinashuka;Je kuna ukweli wowote?
 
Mwanaume ukiwa na pesa unahisi unaweza lala na wanawake wote duniani na sababu wanawake wanahusudu pesa zaidi kuliko chochote unajikuta unatumbukia huko, hata kama hutaki watajieleta tuu...

Mwanamke anapokua hana pesa, anafikiria nini anaweza kuku- offer cha haraka haraka ili umpatie hizo pesa, ndiyo pale anakupa chini yake...

Cc: mahondaw
 
Mwanaume ukiwa na pesa unahisi unaweza lala na wanawake wote duniani na sababu wanawake wanahusudu pesa zaidi kuliko chochote unajikuta unatumbukia huko, hata kama hutaki watajieleta tuu...

Mwanamke anapokea hana pesa, anafikiria nini anaweza kuku- offer cha haraka haraka ili umpatie hizo pesa, ndiyo pale anakupa chini yake...

Cc: mahondaw
ha ha ha ha uko sahihi mkuu
 
Hayo yote yanatokana na mental stamina. Ushawishi wa fedha huja baadaye.
ha ha ha inategemea mkuu,kama mfuko hauko vizuri ni vigumu kwenda maeneo yenye vishawishi....unaweza kutumia muda mwingi kulala tu au kuonekana kama mgonjwa.
 
ha ha ha inategemea mkuu,kama mfuko hauko vizuri ni vigumu kwenda maeneo yenye vishawishi....unaweza kutumia muda mwingi kulala tu au kuonekana kama mgonjwa.
Mental stamina ina uwezo mkubwa wa kukupeleka mahali ambapo pesa haiwezi kukufikisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom