Kuna ukweli wowote kuwa ukipakata laptop kwenye mapaja inapunguza nguvu za kiume???

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,628
2,000
Nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukiipakata laptop wakati wa kuitumia inaleta upungufu wa nguvu za kiume je hii ina ukweli wowote??
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
1,000
Kuna tofauti kati ya nguvu za kiume na sperm count, si ndio? Unaweza ukawa na erection kama kawaida, lakini sperms zako ziwe chache sana.

Explanation ni hii, ukipakata laptop lile joto linakuwa kwenye mapaja yako pamoja na testicles zako. Joto la mwili wa binadamu ni 36/37 degrees ambayo ni kubwa mno kwa ajili ya sperms, ndio maana testicles ziko nje ya mwili wa mwanamme na si ndani (kama ovaries za mwanamke). Temperature ya juu huua sperms. Ukipakata laptop yenye joto (hata kama ina feni), ukienda kwenye sauna au hata kukaa kwenye hot tub kwa muda mrefu kunakuwa kuna risk ya kupunguza sperm count, lakini nguvu za kiume zitakuwepo.

Nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukiipakata laptop wakati wa kuitumia inaleta upungufu wa nguvu za kiume je hii ina ukweli wowote??
 
Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,556
1,225
aiseeeeeeeeee babayangu mtafute dactar bingwa MZIZI MKAVU atakujibu hoja yako kama kuna ukweli kwa hili

nawasilisha
 
kinanape

Senior Member
Dec 16, 2012
129
170
Kuna tofauti kati ya nguvu za kiume na sperm count, si ndio? Unaweza ukawa na erection kama kawaida, lakini sperms zako ziwe chache sana.

Explanation ni hii, ukipakata laptop lile joto linakuwa kwenye mapaja yako pamoja na testicles zako. Joto la mwili wa binadamu ni 36/37 degrees ambayo ni kubwa mno kwa ajili ya sperms, ndio maana testicles ziko nje ya mwili wa mwanamme na si ndani (kama ovaries za mwanamke). Temperature ya juu huua sperms. Ukipakata laptop yenye joto (hata kama ina feni), ukienda kwenye sauna au hata kukaa kwenye hot tub kwa muda mrefu kunakuwa kuna risk ya kupunguza sperm count, lakini nguvu za kiume zitakuwepo.

ahsantee honey bee kwa maelezo. mazuri ila hiyo sperm count inapungua mazimaa au ukitulia kwa muda fulani unarudi normal?????
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
1,000
Hapo sijui kusema kweli. Cha muhimu kama una tabia ya kupakata laptop acha. Weka laptop kwenye meza ukiwa unatumia.

ahsantee honey bee kwa maelezo. mazuri ila hiyo sperm count inapungua mazimaa au ukitulia kwa muda fulani unarudi normal?????
 
Franky

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
1,467
2,000
ndugu kuna practicle moja waliifanya waingereza kwa kuwapa wanaume kadhaa laptop zilizowashwa na zisizowashwa waziweke mapajani mwao near the groin area. Baada ya muda laptop zilizowashwa zilifikia nyuzi joto sentigredi 40, kama ujuavyo mwili wa binadamu una joto 36.8[SUP]0[/SUP]/37[SUP]0[/SUP] na ili sperms zitengenezwe optimum temperature ni normal body temperature minus 2, ambapo inakuwa 37[SUP]0[/SUP]-2[SUP]0[/SUP]=35[SUP]0[/SUP]
sasa emu tumia logic yako hapo joto la kutengeneza mbegu za kiume linatakiwa liwe pungufu, wewe unaenda kubebesha na laptop inayofikia nyuzi joto 40, unazitakia sperm zako nn? ndo maana mwanaume ushauriwi saaana kupenda hayo masauna, hot hot water, na vyupi vyupi vinavyobana kama mwanamieleka, piga pensi au boxer afu jiweke free at night
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom