Kuna UKWELI NA UWAZI na AKILI NA UWAZI, Beware!!!!!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
56405492_1065233587020469_3466374358350430208_n.jpg

Kuna Ukweli Na Uwazi, Na Kuna Akili Na Uwazi.
Jamaa kaamua kutumia mbinu ya AKILI NA UWAZI.
Unapoamua kutumia mbinu hii kuongoza mahusiano yako ya mapenzi, hakikisha pia uwe na kipaji cha kufanya mazingaombwe maana daima njia ya muongo ni fupi. Kwa hiyo mwenzi wako akitokea kushtukia janjajanja zako, unampiga na kazingaombwe anajiona kama kile kilichotokea, kilitokea zamani kwenye ndoto ya mchana.
 
Ndio maana vitabu vya dini vikatuhusia tuishi nao kwa akili na si vinginevyo.

Love and peace
 
Back
Top Bottom