Kuna ukweli kuwa wanaume huwa na akili zaidi mchana kuliko usiku?

Nadharia hio ina ukweli kiasi

Hata mtihan ukifanya mchana na usiku utapata maksi tofauti,pepa hiohio 1
 
Scientifically proved?? Or traditionally proved???

Maana kwa imani yangu Usiku ndio.muda mzuri wa kufanya jambo linalohitaji akili kutumika lifanywe kwa uhakika

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
nadhani ni suala la maadili tu jamii imejiwekea kwa mfano suala la mtu(/mwanaume) kutotatua matatizo usiku badala yake atatue mchana.

Pia, kuhusu suala la wanandoa tunaweza kuongelea kwenye tendo lenyewe, jamii nyingi za kiafrika huo ndo mda wanandoa huwa pamoja kwa ajili hiyo, kitu kinachosababisha wanawake kuutumia huo mwanya kuongea yaliyo moyoni mwao na ni rahisi zaidi kusikilizwa
 
Back
Top Bottom