Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 830
Habari wana Jf,
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania .Natanguliza shukhrani zangu kwa kwa wasomaji tu wa maoni na watoaji maoni pamoja na kusoma pia, itifaki imezingatiwa.
Naomba kujielekeza kwenye mada , inasemekana kuwa Wanaume wakati wa usiku huwa hawana akili ukilinganisha na mchana, tena Wanawake nyakati za usiku huwa na akili sana ukilinganisha na mchana.
Katika kudhibisha huu utafiti ,mwanaume akimkosea mwanamke humsubiria wakati wa usiku ndo akumbushie alivyokosewa na apate suluhisho, tena katika kipindi hicho uwezo wa mwanamme wa kufikiri huwa mdogo.
Tena enzi za wahenga, mababu wa kiletewa tatizo usiku huwa wana subiria hadi kukuche ndo wapate ufumbuzi wa shida hiyo.
Naomba kuwasilisha hoja...
Sent using Jamii Forums mobile app