Kuna Ukweli Kuhusu Message Za Aina Hii?

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Wadau habari za usiku. Nimepokea sms hii kwenye simu yangu kupitia mtandao wa Airtel: "YOU HAVE WON 2 MILLION POUNDS IN THE FREE LOTTO UK MOBILE PROMO. FOR CLAIMS EMAIL US : freelt@wss-id.org. Call: +447031993179". Naomba kama kuna mtu anaejua ukweli kuhusu message za aina hii atujuze, maana nahisi kuna watu wataingia mtegoni bila kujijua. Asanteni.
 
Mwaiba, pole sn, hawa ni wezi wa kwenye mitandao, si TZ tu hata huku tuliko wanatutumia sms au kupiga cm, walitaka niibia m1 kupitia Etisalat, walinipigia nakuniambia kuwa nimeshinda m5 dirham ila nitoe 2500dh ambayo sawa na m1 ya TZ kupitia kununua kadi na kuwatumia, kumbe ulikuwa ni wizi, ukiwatumia thamani ya kadi 2500 wanafunga cm yao umeibiwa, achana nao, lkn ukiona si kweli watataka nmb za account yako watakuibia kupitia mtandao, hao ni wanaigeria walioko UK
 
Kimbia meeeni,utabugi meeni!
 
Thanks a lot mkuu, nina imani wengi watafaidika na comment yako. Big up.
 
Hakuna kitu cha dezo..pesa haziwezi kumuangukia mtu kama mana iliyo washukia wana wa Israeli jangwani...
 
Usugue kichwa buree?
That's much tiny issue !
Unapoambiwa ume win game! First you just asking yourselve je? Kuna game kweli ulicheza? Ofcoz utakuta hakuna!
Na kanuni ya pesa haiko hivyo uvune bila kupanda.
 
Hela yapatikana kwa jitihada jamani.....yaan bure bure tuuu ujichukilie USD 100,000??????karibia 170 M za madafu.....kakwambia nani......!!!!KIMBIA HARAKA...
 
Back
Top Bottom