Kuna ukweli kabisaa sema hatutaki kufikiri vizuri

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
46
Inakuaje mawaziri wameonekana nakosa wakatae kujiuzuru na kwendelea kubisha na kusema hawataki kujiuzuru?
Rudisha fikra kidogo pale bungeni ule mzozo wa kutaka kuwajibishana ulivyokuwa mkubwa na ni historia mvutano ule ndani ya bunge ktk suala la kuwawajibisha mawaziri.
Kibaya zaidi hat a wezi walikuwepo hapa panaupungufu wa kikanuni pia.
Kauli ya Maswi kuwa wezi wakuu wajiandae, kauli ya Muhongo patachimbika anayajua mengi, kauli ya Tibaijuka kuuliza ana kosa gani? kitendo cha account ya Stanbic bank statement kutokuonysha majina? kunanifanya nifikirie tena na kuangalia upya suala la Escrow na maamuzi yake .
My conclusion:
1: kuna sign kubwa vigogo wenye uamuzi nchini walihusika na ndio maana hawa mawaziri wanagoma mpk Leo wakiiumia kama binadamu kuwa mbn hata yule kachukua .
2: Inafahamika nchi hii niyakulindana na Ukawa walipaswa kwenda ya zaidi ya walichofanya maana turufu ilikuwa yao CCM pale walikuwa hawana chao hata wangebana vipi wangeachia na silaha ya kutaka kutoka ilikuwa ndio silaha kubwa pekeee maana CCM walikuwa wanajua kutokushiriki kwa UKAWA ilikuwa nikujimaliza kwa wahisani na ndio maana walikuwa wanapima upepo wa UKAWA.
3: Wananchi tumekubalianaje na maamuzi haya maana hayatofautiani na ya vijisenti tuliposhindwa kuhoji pesa ni zipi na anazo nani na ziko wapi?
4: Serikali wamepata aibu sana na hawatujali kabisa wanafanya yao inakuaje kwa system ya serikali wakose kupata majina ya stanbic bank hapa kuna kutoana kafara
5: Kuonyesha tumekasirika kwa scandal hii uchaguzi serikali za mitaa tuwaondoe tusiwaonee haya CCM Fanya jitihada ktk eneo lako na Mungu atakubariki
 
Back
Top Bottom