Kuna ukweli juu ya haya.

Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
417
418
Kuna mahali nimekutana na jumbe hizi..
Screenshot_20191011-160033.jpeg
Screenshot_20191011-154128.jpeg
Screenshot_20191011-160033.jpeg
Screenshot_20191011-160130.jpeg
 
Siku zote ukweli huwa mchungu
Hii imekaa Mbuya sana, watu wanapenda mtu muongo muongo, na ndio mana ukiwa mkweli utakosa vingi Sana, waliooa wanajua ukiwa mara zote unamwambia mke wako kuhusu hali halisi ya mambo atakuona fala , na atakata tamaa na wewe hata kusepa
 
Maisha bila unafki hayaendi kabisa
 
Back
Top Bottom