Kuna uhusiano wowote wa karibu kati ya Daktari wa Rais na Naibu katibu mkuu mpya wizara ya Ulinzi

Ngaliwe

Senior Member
Dec 30, 2015
164
374
Katika kuendelea na upekuzi na kuainisha mambo nikakutana na Jina la Dr. Ngwale inasemekana ni daktari wa Rais JPM, Ghafla nikaona na Mama Immaculate Peter Ngwale kateuliwa kuwa naibu kaibu mkuu wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Naomba kujua kama hawa watu wanamahusiano yeyote ya kindugu, ili tumuokoe Raisi wetu na aibu hii.
 
Back
Top Bottom