Kuna uhusiano wa kitaalam katika hili "kumek Luv siku moja kabla ya MP kuna...

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA WENYE KUPATA MAUMIVU MAKALI "abnormal Pain" WAKATI WA M.P
ni kweli kwamba ukifanya mapenz siku moja au muda mfupi kabla ya kuanza MP kwaweza punguza maumivu makali ambayo mtu huyapata wakati wa period? na je kuna uhusiano wa kitaalam katika hili la kufanya mapenz na kupunguza maumivu ya MP?
 
i had a friend nayeye alikuwa na matatizo kama yako akaenda kwa dactari wakagungua alikuwa na matatizo katika cervix yake.. nenda kamuone dactari haraka
 
Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA WENYE KUPATA MAUMIVU MAKALI "abnormal Pain" WAKATI WA M.P
ni kweli kwamba ukifanya mapenz siku moja au muda mfupi kabla ya kuanza MP kwaweza punguza maumivu makali ambayo mtu huyapata wakati wa period? na je kuna uhusiano wa kitaalam katika hili la kufanya mapenz na kupunguza maumivu ya MP?

Kamuone Prof Mgaya pale Dar Mbuyuni Maria Clinic huyo ndo mwisho wa wanawake wote
 
[i had a friend nayeye alikuwa na matatizo kama yako akaenda kwa dactari wakagungua alikuwa na matatizo katika cervix yake.. nenda kamuone dactari haraka]
nimefanya hivyo mara kibao ninachoambiwa ni kimoja tu, "kuzaa"
 
sasa si uzae?
 
Back
Top Bottom