Kuna uhusiano kati ya msimu wa mvua na mimba?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Waungwana suala hili sio geni sana masikioni mwetu naamini hivyo, lakini napenda tutafakari kwa umakini mkubwa...
Juzi nilienda kumsalimia mke wa rafiki yangu mmoja aliyekuwa kajifungua, tulipokuwa pale wodini kuna manesi wakawa wanaongea wakipangilia likizo zao nikawasikia wakisema kuwa waombe likizo kati ya mwezi wa August, September au October mwaka huu maana eti kwa mvua zinazonyesha sasa ikifika wakati huo idadi ya wamama wanaojifungua itakuwa maradufu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha sasa, nilitamani kuwahoji rationale ya walichokuwa wakiongea lakini muda wa kuona wagonjwa ukawa umekwisha.
Sasa ndugu zangu, hasa mliokwisha kuoa na kuwa na watoto, ni kweli mlikuwa mnafanya timing ya msimu wa mvua au wakati huo ndio tunda linakuwa tamu zaidi kwahiyo mnapitiliza na kujikuta mmeshatundika mimba?
........Naomba kuwasilisha.
 
wakati wa mvua watu wanafanya ngono zaidi na ndio mimba utungwa hapo kwahio ikifika august,september.october wanaenda kujifungua.
 
So kuna relationship kubwa sana kati ya mgono na mvua.,lakini..mbona hata kwenye nchi au maeneo yenye ukame watoto wanazaliwa?
 
So kuna relationship kubwa sana kati ya mgono na mvua.,lakini..mbona hata kwenye nchi au maeneo yenye ukame watoto wanazaliwa?

we siunaongelea mimba zinazotungwa kipindi cha mvua na si watu kuzaa maeneo ya jangwa au kinyume chake.

mi nadhani wakati wa baridi wapenzi wanakumbatiana sana ili wapeane joto na matoke yake wanaamsha hisia za kufanya mapenzi na hatimaye kubeba mimba zinazozaliwa miezi hiyo ulotaja
 
whatever, but mimba zinatungwa pia maeneo ya joto, sasa kwanini mvua tu ndio ihusishwe na wingi wa watoto wanaozaliwa
 
hili sio la kuuliza, mfano mzuri ni siku ya jana wale wa mkoa wa pwani na dar mtakua mnatambua kahali kahewa kalivyo kua kanafava mambo yetu yale ya kumega!!, mtu mzima jana nimeshinda na taulo tu, full joto full kukumbatia mamaa!.
 
.....:D:D
 
We George_Porjie nimevunjika mbavu baada ya kuiona avatar yako...
 
hili sio la kuuliza, mfano mzuri ni siku ya jana wale wa mkoa wa pwani na dar mtakua mnatambua kahali kahewa kalivyo kua kanafava mambo yetu yale ya kumega!!, mtu mzima jana nimeshinda na taulo tu, full joto full kukumbatia mamaa!.

ahahahhaha yaani hukwenda kazini kazi taulo tu?????
 
So kuna relationship kubwa sana kati ya mgono na mvua.,lakini..mbona hata kwenye nchi au maeneo yenye ukame watoto wanazaliwa?

Mazingira ya swali lako ni uhusiano kati ya mvua na ngono na mimba kwa hayo maeneo yenye mvua, sasa ukianza kupotea na kutuletea mambo ya ukame na joto hilo ni swala tofauti na thread hii.
 
ishu ni kwamba mvua inaleta kaubaridi flani hivi, tena ukitaka utamu ukolee basi inyeshe usiku halafu nyumba haina silingibodi, LOLS.
 
Back
Top Bottom