Kuna uhusiano kati ya Chama cha ACT-WAZALENDO na CCM?


Mzyondi

Mzyondi

Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
40
Likes
62
Points
25
Mzyondi

Mzyondi

Member
Joined Nov 24, 2016
40 62 25
Tangu kuanzishwa kwa chama cha ACT nimekuwa nikifuatilia mienendo na mtazamo wa makada wa chama hicho nimegundua kuwa hawatofautiani na wa chama cha mapinduzi, wamekuwa wakipongeza kila kitu kinachofanywa na rais au watendaji wa serikali kama wafanyavyo makada wa ccm, Pia wamekuwa wanaungana pamoja kumshambulia aliyekuwa mgombea wa ukawa ndugu Lowasa pamoja na viongozi wengine wa vyama vya upinzani kasoro mh Lipumba tu, sasa sielewi pengine hiki chama kipo kwa ajiliya kupimga mawazo ya vyama vya upinzani? kwanini kupitia kwa kada wake maarufu prof Kitila Mkumbo wanaunga mkono marufuku ya mikuano ya hadhara ya vyama vya upinzani? au ni kwa sababu hawana pesa ya kuwezesha kufanya mikutano ndiyo maana wanaona bora tukose wote?
 
M

mmonga

Member
Joined
Dec 5, 2016
Messages
10
Likes
0
Points
3
Age
31
M

mmonga

Member
Joined Dec 5, 2016
10 0 3
huo ndio ujinga ivi huja wai ona zitto aki mkosowa Raisi! nani ALIYE pinga vikali muswahada wa waziri wa Nape! Kama sio zitto Nani aliye anza kupinga marufuku ya mikutano ya vyama vya siasa kama sio zitto Nani aliye sakwa na police akapotea masaa 22 kwa sababu ya kumkosowa Raisi kama sio Zitto Kuweni wakweli sio kutafuta gear za kuingilia na ndio mana mna sababisha hajali kila uchaguzi hata kama ni siasa ila jaribuni kuwa naka ukweli kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,275,212
Members 490,932
Posts 30,535,930