DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 285
- 1,447
Hi,
Kuna swali hili huwa najiuliza kuhusu ushirikina. Kwanini mambo mengi ya kishiriki na hufanyika njia panda. Unaambiwa labda kachote mchanga njia panda, au kwavunje nazi njia panda.
Kama ishu ni kuvunja nazi si avunje popote tu.
Na unaambiwa ukiwa una-solve ishu kubwa kishirikina eti uende njia panda inayopitiwa na watu wengi. So ukubwa wa tatzo lako inakupa aina ya njia panda ya kufanyia uchawi. Kadri tatzo lako linapokua kubwa, ndipo inatakiwa uende njia panda yenye population.
Na hivi kuvunja njia panda kwann huwaga ni nazi? Kwanini isiwe nanasi, nyanya, au kitu kingine? Kwanini nazi na mkaa?
Wajuzi mje.