Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 511
habari wana Jf!!!
Kumekuwepo na hii tabia ya watu kutema mate pale pua zao zinapo kutana na harufu mbaya yoyote ile iwe ya mzoga, gogo (mavi/kinyesi cha mtu mwingine), unapo kunya/ kukojoa, uchochoro ambao una nuka kwasababu ya mikojo n.k.
Tangu zamani huwa najiuliza kuna uhusiano gani wa mtu kutema mate (saliva), pale tu pua yake inapo kutana na harufu mbaya/ kuona mzoga wenye harufu kali, mavi, choo kichafu, mtu mchafu (anaye nuka).
Kwanini tuna tema mate? kuna uhusiano gani wa kutema mate na hizo harufu? Kwani usipo tema utakufa? au utaumwa? au kuna lolote linaweza kukupata usipo fanya hivyo?
Najua kitendo hichi wengi wetu tunakifanya. Sasa basi njooni tujuzane KWANINI TUNA TEMA MATE? Je kuna uhusiano wowote na sayansi ya mwili hapo?
......NJOONI TUJUZANE HAPA...