Kuna uhusiano gani wa lugha ya kiarabu na majini?

Nawewe uisie pelekeshwa ni mbuzi wa nani???
sasa unabisha nini na wakati nyie ni kondoo wa bwana yaani hata kujiulizq haujiulizi eti yesu ndiyo aliletwa kuja kuwachunga kondooo wa bwana/israel sasa hata akili tu ya kujiuliza kwa nini wasiandike mbuzi ama ng'ombe wakaaandika kondooo hauna.kwa mm nijuavyo kondoo hanaga akili sawasawa kama mbuzi na ndio maaan mchungaji wa wanyama hawa huwa anawamiksi kondoo na mbuzi ili makondooo yaelewe yanapo pelekwa na mbuzi yasipoteeeee
 
Hiyo ilikuwa nukuu ya madai yenu miaka yote, ina fit mpaka hapa kwenye kiarabu na majini.
ndio maaana nikasema kama qur-an haijabadilika iko vile vile tokea zamani nyie ni mara ngapi bible ina be updated sasa haujiulizi kama kitabu cha mungu kina be updated daily ni nn kinaongezwa humo jibu unalo ni kuwa kuna maneno yanaongezwa ili kufiti uelewa wenu enyi kondoo wa bwana msiofikiri kwa kina na ndio maaana mwenyezi mungu wetu anatusisitiza sana tusome ili tusipelekwe pelekwe kama ninyi makondoooooooo
 
sasa unabisha nini na wakati nyie ni kondoo wa bwana yaani hata kujiulizq haujiulizi eti yesu ndiyo aliletwa kuja kuwachunga kondooo wa bwana/israel sasa hata akili tu ya kujiuliza kwa nini wasiandike mbuzi ama ng'ombe wakaaandika kondooo hauna.kwa mm nijuavyo kondoo hanaga akili sawasawa kama mbuzi na ndio maaan mchungaji wa wanyama hawa huwa anawamiksi kondoo na mbuzi ili makondooo yaelewe yanapo pelekwa na mbuzi yasipoteeeee
Sisi ni kondoo ndio, wewe mbuzi wa nani??
 
ndio maaana nikasema kama qur-an haijabadilika iko vile vile tokea zamani nyie ni mara ngapi bible ina be updated sasa haujiulizi kama kitabu cha mungu kina be updated daily ni nn kinaongezwa humo jibu unalo ni kuwa kuna maneno yanaongezwa ili kufiti uelewa wenu enyi kondoo wa bwana msiofikiri kwa kina na ndio maaana mwenyezi mungu wetu anatusisitiza sana tusome ili tusipelekwe pelekwe kama ninyi makondoooooooo

Qurani haijawahi kubadirika iko katika uhalisia wake wa awali iko katika lugha ya kiarabu si ndio????kuitafsiri kwa namna yoyote ile ni kuihasi.

Upi ushahidi kwamba allah ndiye Mungu???hii confidence ya kuita allah ndiye Mungu umeitoa wapi???

Kiarabu hiki hiki kinaandika nazi njia panda kuyatuma majini,majini haya haya yanaikiri quran iliyoandikwa kiarabu!!!! Naomba utengano wake ni upi???naona uhusiano hapo.

Halafu usisahau kuituma nakala ya bible ya kwanza kabla ya hizi zilizo kuwa updated.
 
Kwa mujibu wa quraan majini wapo kokote palipo watu majini wapo na penginepo, hata kanisani na kwingineko yapo tu'

Invisible umepotea! Jifunze ya kuwatumia Hawa viumbe wachulie kama chui tu au swala, sungura na Mbwa mwitu"
Kiboko yao ni jina la YETU.
 
mi mshkaji wangu nilikuwa naishi nae ughaibuni alikuwa na jini la kimarekani,.la kuitwa monica,.husema yeye anatokea chicago,.uyu jini akipanda anakujaga na stoti kibao,.tunatumia muda mwingi sana kuongea,.sema akiondoka mshkaji anakuwa kachoka sana alafu lazima aniulize kasemaje monica?
 
Na yule jini mahaba?
Yee anawaza ngono tu mda wote, swali linakuja
Ina maana mahaba ni ni majini tu?
Binadamu wa kawaida wanafanya mahaba/ujini?
Je binadamu wanafanya mambo sawa na Majini?
 
DuH
Huu Ni ukweli mchungu
Uislam na uchawi ni vitu vinavyofungamana,ndiomaana waganga wote wa kienyeji(wapiga ramli) ni waislam.
Uswahilini huwa kuna nazi zinavunjwa barabarani usiku au jioni,nazi hizo huandikwa kiarabu.
Kwanini kiarabu hutumika sana kwenye uganga? Mtu Muhammad alikuwa muarabu wa kabila la kuresh,naye Muhammad alikuwa anajua kiarabu tu ndiomaana Qur'an pia inatumia sana kiarabu, ndiomaana waislam sharti watumie kiarabu misikitini ili kutengeneza mawasiliano ya mojakwamoja na mungu wa Muhammad anayejulikana kama mungu (allah)
Kwani allah hajui lugha nyingine yoyote mbali ya uislam.
Kuna makundi makuu mawili ya waislam (waislam binadamu na waislam majini) na hawa wote wana mfuata mtume na allah ambao wote wawili mtume na allah wanajua lugha moja tu ya kiarabu.
NB: ni sawa kama wewe ni muhaya na unataka kuwasiliana na mizimu ya kihaya sharti utumie lugha ya kihaya ndivyo ilivyo kwa uislam majini na kiarabu.
 
msikitini yanaenda kuswali 2 ila kanisani ndiyo nyumbani wanakula,wanaoga,wanavaa na kusaidiana na mapadree kutengeneza uongo mbelw ya kadamnasi ptuuuu
Kumbe mnakubali kuwa Majini yanaswali msikitini.
Msije mkakanusha Tena maana huo ndio ukweli.
Labda niulize.
Hivi hayo Majini ni Dhehebu la
Sunni
au
Shia ?
 
Back
Top Bottom