Kuna uhusiano gani kati ya stress na sex?

Kisaikolojia..

Unapokuw stressed ,stress hulazimisha Mwili unatoa hormone za cortisol na epinephrine , Ambapo kwa zikizidi husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo.

Stress inapokuw ni chronic mwili huhitaji cortisol hormone kwa wingi ili kujiponya juu ya stress hivyo huanza kutumia sex hormones kwa ajili ya production ya cortisol.

Ambapo hupunguza hamu yako ya kufanya tendo.
Umeelewa mtoa mada?
 
Hv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...

Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
Tunatofautiana situation km hyo ingenikuta mimi ingekuwa tofauti ingekuwa km nilivoandika juu
 
Tunatofautiana situation km hyo ingenikuta mimi ingekuwa tofauti ingekuwa km nilivoandika juu
Huo ni ulemavu kitaalam psychotic depression ni moja wapo ya dalili za schizophrenia yaani loss contact with reality, mazingira yanakutaka ufanye “a” wewe unafanya “z”
 
STRESS NI NINI?

Hicho unachoita stress inaweza kuwa mood swing tu.

Stress na nyege ni kama Mercury na Pluto.

Naturally, and biologically speaking, it does not make sense for us to enjoy an erotic touch or to lie around kissing our partner if our stress pedal is hitting the metal. Stress and sex drive do not mix. You simply cannot have a head full of 120 worries while also having great sex.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hv mwanakwetu unazijua stress wewe? Tofautisha kati ya msongo na kuvurugwa!
Stress ikikuchapa vzr you can't even feel the presence of your sex organs...

Nilibambikwa kesi ya mauaji ya bodaboda, ikawa anasubiriwa jamaa mmoja ahojiwe ndio anitaje nikawe mtuhumiwa namba moja, sitaisahau ile wiki aisee ushirikina una umuhimu wake...
So ulichomokaje?
 
Back
Top Bottom