Kuna uhusiano gani kati ya Nangwa secondary (Binafsi)Jeffery's Academy na biashara haramu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uhusiano gani kati ya Nangwa secondary (Binafsi)Jeffery's Academy na biashara haramu..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by stroke, Sep 8, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  Kwa utafiti wangu uliokamilika hivi majuzi nimegundua kua, wamiliki wa shule hii ya Nangwa secondari na Jeffery academy ya Arusha , kuna siri kubwa nyuma ya ufadhili wa kwa watoto wa wafugaji wa kimasai ambao wamekua wakiwatoa katika familia zao za kimaskini , kuwapa elimu, kuwafundisha mambo mabali mbali ikiwemo , dini pamoja na mbinu za mapambano..yaani martial arts..baada ya wahitimu kumaliza masomo yao kwa ufadhili wa hawa mabwana wamekuwa wakipewa ajira katika makampuni ya hawa mabwana..wanao kataa kuendelea na ufadhili wao, wamekuwa wakirudishwa mitaani bila muendelezo wowote..kuna siri kubwa inaendelea, wahusika Mulikeni hizi shule mbili..hatari inakuja,...nazungumzia shule ya nangwa ya binafsi sio ya serikali..Nawasilisha..anayetaka kusikia hutaki acha...
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ungetumegea hata kidogo unachokijua ama kukihisi ili tujue pa kuanzia
  otherwise unatupotezea wakti tuu
   
 3. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Funguka kamanda wangu watu tuna kazi nyingi zakufanya.
   
 4. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kiuhalisia hujaeleweka si kwamba kila mtu yupo Arusha na anaelewa so jitahidi kufunguka zaidi ili ueleweke.
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama ufahamu wako umwishia hapo basi wewe ni hamnazo.
   
 6. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  huo mkuu co utafiti bali ni uchunguzi tu tena ambao haukukamilika.Maana ungekuwa umekamilika ungejua kinachoendelea tayari na co kuwataka wa2 wengine wachunuze!
   
 7. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hilo neno la utafiti umekosea kulitumia, hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa huenda kuna ka uchunguzi binafsi ulikokafanya na unataarifa muhimu za nyuma ya pazia.

  Sasa si unaona hapo, wewe umeijua siri kidogo tafadhali tujuze. Pengine, wako wengine nao wanajua lakini kwa kuinyamazia hiyo siri bila kusema ndivyo wanavyowapa jeuri hawa jamaa kufanya wanayofanya kwa mgongo wa shule.

  .
  Hapa kuna neno Dini+ Martial arts. Kwanini wapewe mbinu hizo shuleni? OK umesema wanapewa mbinu za mapambano ili waje wapambane na wakina nani? Mkuu funguka tujue zaidi.

  Iweje wanalazimisha kuwafadhili watoto wa kimasaai na kwanini wanaokataa wanawapotezea mitaani na si kuwarudisha walikowatoa? Kweli kuna siri, tuambieni watu wa Arusha kuna hapo Nangwa na Jaffery's
  shuleni.
   
 8. m

  massai JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  funguka mkùu,anza kutofautisha nangwa na jeferry then shuka mistari kuanzia huo mpango wa kusomesha massai na hayo mafunzo ya marshal arts,..
   
 9. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Massai, kamuite basi ndugu yako aje atoe majibu
   
Loading...