Kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa ya kina dada na kupenda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa ya kina dada na kupenda?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Remmy, Dec 30, 2009.

 1. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wapwa zangu natumai mu nguli kabisa. Huwa najiuliza sana hivi kuna siri gani kwenye makalio makubwa ya akina dada? maana nimeona mara nyingi sana akina dada wenye makalio makubwa ndo wana soko sana, na hata kama dada akikatiza mitaa, utawaona akina kaka wanavyotoa udenda. please nisaidieni hivi kuna nini? inakuwa ni tamaa ya ngono au mapenzi?
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  duuuuh,kazaai kwelikweli
  yale madude bwana yanatia mshamsha, yale yanfanya mtalimbo muda wote uwe hewani kaka,no kulala,unajua kuna figure amabazo unaweza ukawa unapiga goli tu hata mpaka 8 na kuendelea na bado mtalimbo unaonyesha kuhitaji tu
  yale kaka we yaache tu,yanaamsha sana majamboz!1 wuuuh, tena umeniamsha hapo1 inabidi nifanye mishemishe ya kuyasaka yale yenye mtetemo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wewe kwani unaonaje. si ukipita unashangiliwa?
  Sa ujue hayo mananihii yako yanapagaisha watu!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAPA,mpwa fidel80 ANA KESI YA KUJIBU....(ambayo atashinda tu)
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Angalizo kwenye hizo bold! We ni he/she kabla sijaweka komenti zangu hapa!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Naona na wewe umetatizwa kama mimi! Ndo maana nimemuuliza kama yeye ni he/she?
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  lakini mimi sio fun wa MAKALIO!
  mimi MASHINE TU!....:D
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Malizia kabisa: Za uswazi!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  EKZAKTLII!mimi nacheza na mbunye za kiswazi!wao na UDI udi na WAO!..kwishnei!

  HONGERENI WATOTO WA USWAZI!..mbunye zenu MNATO
   
 10. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mmmmh,mkuu pj kwani huyu ni he/she?
   
 11. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ehehehehe,teh teh teh teh ,xpin umeua kabisa hapo,lol
   
 12. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haya mambo ya kumaind sijui watoto weupe yamesababisha dada zetu kuishia kwenye mkorogo wapate soko. Hii ishu ya makalio nayo wameshaipatia dawa maana sasa hivi yapo ya Kichina. Zegere, sijui umewahi kukutana nalo la kichina? Unawezaje kutambua kwamba hili la kichina au original?
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .. Hapo kweli ni mitego!! Nadhani la kichina lazima litakuwa rojo rojo sana!!!
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huwa napata hisia labda wapendao hayo huwa wanayapenda kwa jili ya kuluka ukuta?
  Otherwise yanavutia!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Dec 31, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Makalio yanavutia, na wengine wanapenda kwa ajili ya kujiexpress!
   
 16. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono mkuu. Yale madude ni kama vile ndimu kwa nyama ya kuchoma... Ukiwa unayabinya huku unakula "vitu" huwa yanafanya ujihisi kama uko peponi.... Utapiga mabao lakini kitu hakiendi kombo... kinataka tu esp upata anayejua kuyachezesha kunako.... ndy kabisaaaa utatangaza utajiri n pesa ulizonazo mpk wakati huo.... yanaleta msisimko kwa kweli.
   
 17. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  balozi,nahitaji kufanya risechi,ili tuweje kujua feki na orijino, majibu after 2 weeks hapa hapa jf,
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  ujue jamani hivi ni kuwanyanyapaa wale walio na nyonga lakini makalio ndo ivo tena....japo ukweli ndo huo!:rolleyes:
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280

  Mkuu ya kichina mbona yapo obvious tu hayako proportional na mwili! u know war am sayin!
   
 20. GP

  GP JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, wapwazz leo wako likizo nini??, hii sredi ilikua tupate majibu sahihi kutoka kwa FIDEL!!!.
   
Loading...