Kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na mvua?

Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,381
1,073
Watu wanagombea mahindi ya kuchoma kama nyama! hii ni baada kunyesha mvua na kukata. Ningependa kujuwa, kuna uhusiano gani wa mvua na watu kula mahindi ya kuchoma?
 
utashangaa jitu linakuja linasema kuna uhusiano gani kati ya mahindi ya kuchoma na wanaume wa mkoani.
 
Kwanza Ushajiuliza kama kuna uhusiano gani kati ya kura uliyopiga 2015 na maisha uliyonayo sasa?
 
Back
Top Bottom