Kuna uhusiano gani kati ya magonjwa ya akili na kuokota makopo


I

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
1,262
Likes
699
Points
280
Age
38
I

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
1,262 699 280
Hivi kuna uhusiano gani kati ya hivi vitu viwili, nakumbuka zamani kabla ya hii biashara ya chupa za maji kuingia, watu walikuwa wanasema jamaa sasa hivi ni kichaa anaokota makopo....lakini mwanzoni mwa miaka ya 2000 biashara nii iliingia kwa kasi na kila umuonaye akiokota makopo anamuonekano kama dish limecheza kwanza utakuta mchafu kunuka nilimkuta ndugu yangu wa damu tazara akiokota chupa nikamuita nikamshangaa nikamwambia mbona unaokota chupa akanijibu hii ni kazi kama yoyote ile nikamwambia mbona unaonekana kama hujaoga una muda mrefu, umevaa ndala tofauti tofauti nywele hujachana wala hujanyoa rasta zinamatope akaniambia dogo chukua taim....mi nikamuogopa sasa nimeshindwa kujua uhusiano wa hivi vitu viwili....
 

Forum statistics

Threads 1,273,058
Members 490,262
Posts 30,469,756