Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

Ni ni timing nzuri sana kwa Lowassa kwani WaTz wengi walikuwa bado wanaangalia kinachoendelea uwanja wa Taifa then kipindi maalum...good timing
 
kila siku unazungumzia serikali kufanya uamuzi mgumu, je huwa una maana gani? yeye anajibu kuwa hili swali limemfanya awe na maadui wengi hivyo hataki kuendelea kulisemea, lakini anaamini kuwa watumishi wa serikali walimwelewa, na watanzania walimwelewa!
 
why Lowassa and not waliochangia kujenga historia ya nchi yetu hadi tukafika hapa leo ??? where are the veterans and old guards of our nation hadi wampe promo huyu kiongozi aliyestahafu?
 
Jamani angalieni TBC jinsi wanavyo mpiga tafu huyu EDO kwenye kampeni za kugombea urais wa tanzania
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali
 
Huyu jama atanifanya niandike historia, ntajitolea kwa ajili ya taifa langu. m2 alifukuzwa uwaziri kwa ajili ya ulaghai, leo hii ndiye anatukuzwa kuwa rais
 
I dont thnk if wat ur just sayin are true bcoz in Tz I believe Lowasa is among the good leader we over had b4.
 
why Lowassa and not waliochangia kujenga historia ya nchi yetu hadi tukafika hapa leo ??? where are the veterans and old guards of our nation hadi wampe promo huyu kiongozi aliyestahafu?
Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!
 
Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!
yes,

i took a mickey out of kustaafu kutoonyesha bias

i doubt kama lowassa anaweza kuelezea historia ya ukombozi na mageuzi yetu
 
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali

kawakama acha kutoka povu. Kura za watz ndo zitakazo determine.
 
Achana na habari zote za ovyoovyo,Lowassa leo amefunguka kuhusu namna ambavyo serikali inaweza kutengeneza ajira kwa vijana akitolea mfano wa Misri walivyokuwa wanafanya kipindi akiwa Waziri wa Maji.Amesema serikali inaweza kukopa na kuanzisha viwanda ambavyo vitatoa ajira kwa vijana wengi au vijana wakakopeshwa zana za kilimo na pesa kwa ajili ya kujiajiri ki ukweli amenivutia sana kwa sehemu hiyo.
 
LOWASSA is a Pride of TANZANIA!! ni kiongozi mwenye mafanikio makubwa ktk kuleta maendeleo..! long live Chama Cha Mapinduzi
 
Hivi kuna nini nyuma ya hii covarage kubwa inayofanywa na TBC1 kwa Mh. Lowasa maana toka vikao vya CC viishe Dodoma coverage ya huyu bwana imekuwa amaizing today mara baada ya kumalizika kwa sherehe za miaka 50 ya uhuru TBC1 imerusha kipindi maalum ambacho Lowasa alikuwa akihojiwa na Shaban Kisu akionekana kusisitiza kuhusu ajira kwa vijana na viongozi kuchukua maamuzi magumu kwamba wale wasiowajibika waige mfano wake.

Hebu mtujuze watafiti wa mambo, haya ni matokeo ya alichokisema kwenye vikao Dodoma au?
 
Ah ah ah edo ana pambana sana kuwa raisi wa nchi hii hakika akiwa raisi wa nchii hakika nitalia sana na nitaisikitikia sana nchi yangu kwa sababu najua kwa tabia ya mzee lowasa na tamaa zake tutakwisha
 
Nimeitazama mahojiano ya bw. Kisu na waziri mkuu mstahafu EL na nina maoni yatuatayo na maswali
  1. ,Kwa mini mahojiano na E L na Sio JK ? Nadhani tulihitaji Majibu ya JK na Sio EL kwenye issue ya muungano. Umeme, Elimu, Hali ya uchumi, barabara, ufisadi, mishahara nk
  2. El ametoa Majibu mepesi kwenye maswali mazito , EL ameonyesha kutojiandaa na Kama hayo ndio Majibu basi hafai Kuwa Raisi wa Nchi hii
  3. kama CCM wametumia Muda huu kufanya kampeni basi EL amewangusha
  4. EL Hana takwimu na inatia wasi wasi ni vipi ataboresha kitu asicho na takwimu
  5. yake kwa uhalisia , hapo ndipo penye shida.
  6. EL hatupi ufumbuzi bali analalamika na kuelezea tatizo tu
 
Achana na habari zote za ovyoovyo,Lowassa leo amefunguka kuhusu namna ambavyo serikali inaweza kutengeneza ajira kwa vijana akitolea mfano wa Misri walivyokuwa wanafanya kipindi akiwa Waziri wa Maji.Amesema serikali inaweza kukopa na kuanzisha viwanda ambavyo vitatoa ajira kwa vijana wengi au vijana wakakopeshwa zana za kilimo na pesa kwa ajili ya kujiajiri ki ukweli amenivutia sana kwa sehemu hiyo.
we unaumri gani ,tulishakuwa na kila kitu viwanda vikubwa tanga moro dar arusha moshi, tren, ndege huyo huyo lowasa alishiriki kiviuwa wanajiuzia halafu wana viuza kama chuma chakavu
heb fikiri hata nmb alitaka kuuza ,nbc majengo yaani ofisi na nyumba za kuishi waliwapa bure wazungu absa ya south
juzi nilimuona pinda mza akikagua mwatex kube walishawapa wahindi .......ona aibu kusifia ujinga

Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!
Wacha aongee Lowasa, maana Pinda aliyechukua usukani wa uwaziri mkuu, ni rubber stamp tu na yupoyupo tu....sijui hata anafanya nini pale? Bila shaka ameshindwa kumshauri JK, ni vizuri akubali yaishe tupate waziri Mkuu mwingine.

Nassikitika kwamba miaka mitano ya uwaziri Mkuu wa Pinda sina kitu cha kumkumbuka....afadhali hata Malecela aliyethubutu kudai Tanganyika.......
 
Back
Top Bottom