Kuna uhusiano gani kati ya dini na kulana tiGO?

Status
Not open for further replies.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Zamani walisema watu wa mashariki ya kati wamekubuhu kwa mchezo huo wa mapepo.
Sasa watu wa magharibi wameruhusu hadi ndoa za jinsia moja.
Dini za mashariki ya kati zinajulikana, na zile magharibi twazijua.
Je kuna uhusiano gani kati ya dini na kulana tigo????
 
Cant comment on this, maana sina point za kusemea uzinzi na uasherati.

Kama unahoja za ndoa lete tuziongelee!
 
cant comment on this, maana sina point za kusemea uzinzi na uasherati.

kama unahoja za ndoa lete tuziongelee!

hujazisikia ndoa za mashoga zilizobarikiwa na dini hizi?
Lamu imefingwa ndoa tena ya kidini....hali kadhalika wakenya waishio uingereza wamehalalisha unyumba wao mbele ya kasisi
 
hizo tabia za kulawitiana ni chafusana na zimelaaniwa ktk dini zote na yeyote anaefanya vitendo hivyo amelaaniwa na yeyote anaeshiriki kwa namna yoyote katika uovu huo amelaaniwa.
 
Muulizeni ustaadh Mzizimkavu na Zawadi Ngoda, nadhani watakuwa na majibu mujarabu. :D
 
Zamani walisema watu wa mashariki ya kati wamekubuhu kwa mchezo huo wa mapepo.
Sasa watu wa magharibi wameruhusu hadi ndoa za jinsia moja.
Dini za mashariki ya kati zinajulikana, na zile magharibi twazijua.
Je kuna uhusiano gani kati ya dini na kulana tigo????

Ushaanza na wewe.Kutafuta ligi tu.Subiri wenyewe waione,watakugombania ka' mpira wa kona:D
 
Hakuna uhusiano wowote ! Usidanganyike na majina kuwa hili ni kanisa , msikiti, huyu ni padri, mchungaji au shekhe, hii ni dini hii au ile..shetani ni muongo, anatafuta tu njia ya kuwachanganya binadamu,mwisho wa siku hutaweza kutofautisha ukweli na uwongo, hajaanza leo..ndio asili yake na anaendelea na kazi yake.

Suluhisho: Usiangalie binadamu wanasema nini au wanafanya nini, angalia maandiko matakatifu yanasema nini,nawe ishi accordingly
 
hujazisikia ndoa za mashoga zilizobarikiwa na dini hizi?
Lamu imefingwa ndoa tena ya kidini....hali kadhalika wakenya waishio uingereza wamehalalisha unyumba wao mbele ya kasisi

Si Vizuri mtu mzima kuambiwa m u o ngo lakini wewe unakuwa jemedari wa uo ngo. Dini gani inayoruhusu ndoa za jinsia moja?
 
Bujibuji, ukisema dini unamaana gani? maana bila kuwa na tafsri ya pamoja hatutaweza kuchangia kwa umakini

Annina
 
anafata nyayo za mwana wa Mungu. Kwani yeye alikatwa utepe na wayahudi. Sasa kanisa kubariki ni sawa kabisa hakuna mushkeri
 
hizo tabia za kulawitiana ni chafusana na zimelaaniwa ktk dini zote na yeyote anaefanya vitendo hivyo amelaaniwa na yeyote anaeshiriki kwa namna yoyote katika uovu huo amelaaniwa.

.
.
Marekani kuna MAPADRI wawili ambao wamejitangaza kuwa ni mashoga, na hadi leo wanaendelea kuongoza ibada huku waliwa kisamú cha kopo, sijui dini yao inasemaje kuhusu hilo.
 
.
.
Marekani kuna MAPADRI wawili ambao wamejitangaza kuwa ni mashoga, na hadi leo wanaendelea kuongoza ibada huku waliwa kisamú cha kopo, sijui dini yao inasemaje kuhusu hilo.
Wanaendeleza kufanya kile alichofanywa Yesu
 
Si Vizuri mtu mzima kuambiwa m u o ngo lakini wewe unakuwa jemedari wa uo ngo. Dini gani inayoruhusu ndoa za jinsia moja?

Mkuu utakuwa unaishi kwenye sayari gani mzee.? Nadhani mwenzio sio muongo ila wewe ndie ambaye hufahamu..Na nivema kuuliza kuliko kupinga..! Mbona ndoa nyingi za jinsia Moja zimefungwa makanisani !!!
 
.
.
Marekani kuna MAPADRI wawili ambao wamejitangaza kuwa ni mashoga, na hadi leo wanaendelea kuongoza ibada huku waliwa kisamú cha kopo, sijui dini yao inasemaje kuhusu hilo.

Nitajie majina ya hao mapadri wawili na address zao. Kama huna kichaa natarajia utanipatia majibu mujarabu.
 
anafata nyayo za mwana wa Mungu. Kwani yeye alikatwa utepe na wayahudi. Sasa kanisa kubariki ni sawa kabisa hakuna mushkeri

Mkuu usipotubu hakika utaingia katika jehanamu ya Moto! Yesu Mungu aliye hai anasamehe hata watu kama nyinyi cha msingi nenda mbele zake ukatubu vinginevyo mkuu utaunganishwa na Babu yako Iblis katika moto wa Milele. Sikutanii Hamza
 
Wanaendeleza kufanya kile alichofanywa Yesu

Alhaj, AAWW....

hebu mswalie mtume yakhe. Huyu yesu uliyemtaja hapa ndiye yeye Issa Ibn Maryam? Astaghafirullah...

Katika nguzo za Imani ni pamoja na kuwaamini Mitume ya Mwenyezi Mungu na vitabu vyao. Umeteleza ama?

Anyway, kumradhi jamani... malumbano ya kidini hapa sio mahala pake.

Shukran.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom