Kuna uhusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.

Kwanini?
 
Kama vipi usiswaki na dawa sisi wamasai mbona hatujui hayo madawa yenu tushazoea limti pori letu kiroho safi
 
this is really and i'm witness ,, ila ni baadhi ya dawa nilipochange kdg afadhal,, af pia ukimeza mate ko avoid sana kumeza mate
 
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.

Kwanini?
kipindi niko boarding tulikuwa hatuswaki hadi mida ya pora saa nne
 
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.

Kwanini?
Coz cc watanzania tumeendekeza na kufanya mswaki kama ndio breakfast
Wakati wazungu wenyewe wakiamka wanapata breakfast kwanza afu ndo wana swaki
Ushauri ukiamka pata chai kwanza afu ndo uswaki
 
Vipi, umewahi tafuna Big G ..?? A.k.a. JoJo, au Chewing gum?? Hali inakuwaje?
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.

Kwanini?
 
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.

Kwanini?
mmmh mimi na swaki lakini haijawahi kunitokea
 
Back
Top Bottom