kipindi niko boarding tulikuwa hatuswaki hadi mida ya pora saa nneWakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.
Kwanini?
Coz cc watanzania tumeendekeza na kufanya mswaki kama ndio breakfastWakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.
Kwanini?
Wakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.
Tofauti na usipotumia dawa ya meno husikii njaa ila ukishapiga mswaki kwa kuweka dawa ya meno njaa inakuwa kali balaa.
Kwanini?
Zile za 20000?Tuma zile za gnld
mmmh mimi na swaki lakini haijawahi kunitokeaWakuu kuna mahusiano gani kati ya dawa ya meno na njaa? Maana ukishapiga tu mswaki na dawa njaa inauma sana.