Kuna uhusiano gani kati ya damu ya hedhi na mboga/majani kukauka?

hii nimeshawahi kuisikia niongeza

hedhi mkitumia kumix somewhere inakuwa poison cjui kuna ukweli?
Hii nimewahi kuambiwa na marehemu babu yangu kwamba mwanamke akitaka kukuua akikuwekea ile dam kwenye chakula hakuna dawa ya kuzuia usife
 
.....................................................................................................................................................

kwanza pole kwa hayo yanayokusibu na kujikuta ukijiuliza maswali mengi kwanini inakuwa hivo..nisikilize kwa makini nitakueleza kwa kifupi kwanini inakuwa hivo,,

kwanza kabsa nipende kukupongeza kwa kuumbwa mwanamke kwani wew ni potential resource tosha katika maisha ya viumbe hasa binadamu katika mfumo huu wa ulimwengu..

mwanamke ndo kiumbe pekee anayeruhusu generation ya uwepo wa viumbe vingine ulimwenguni kote,,,kiumbe yoyote wa kike ,ndo kimbe anzilishi wa uhai wowote wa mnyama au kiumbe yoyote duniani,,hongera kwa kuwa source ya kugenerate na kuprogress life in this universe,,,

NITAELEZEA KWA UNDANI LAKINI NI KIDOGO SANA KWANI SIAKUWA NA MUDA WA KUCHAMBUA KWA UNDANI ZAIDI BUT NITAKUPA HINTS KIDOGO KWANINI INAKUWA HIVO,,,,

Mwanamke[feminine] ana feminine energy na hii feminine energy in INTUITIVE [ana nguvu amabyo akifeel kitu huwa kina ukweli ndani yake bila hata kuhusisha concious reasoning] .

Mwanaume[masculine energy] ni analytical power power of reason and strengh [anahitaji analysis and reasoning kupata ufahamu na uelewa mwingi juu ya kitu flani kwa kuhusisha concious reasoning].

Ndo mana mwanamke anahitaji mwanaume awepo karibu to be more sensitive to their surroundings in order to get in tune with the surrounding and that is true,,,,

the current flow of our life is in oposite direction tofauti na tunavyojua,,a woman can bear a kid with no direct contamination na mwanaume lakini mwanume cant do that na hii ndo inapowapa uwezo wa kuitwa true energy potential of life[mfano ni mama yake yesu {nabii isah} alizaaa bila direct contact na mwanaume,,,

It is true kuwa when we become too analytical all what we have is mountains of data that are not attached to feelings thus higher sense[nguvu za ndani] haziwezi kuwa activated hence kutufanya [wanaume] kukosa power to do anything about our findings,especially when comes to divining the “real truth” or the “root” of what is going on in
your individual life so it can be adjusted properly so you can have a stable foundation,

For males it is of value to know that females make at least 50% more paranormal contact than
males. kupitia uwezo huo unamfanya mwanamke awe na uwezo wa kucomunicate na higher beings[nguvu za ajabu na viumbe wa dunia ya mbali{ulimwengu mwingine hasa ambako ndo chimbuko la nguvu zote{

One main reason these Beings can communicate with woman better than men is because they
possess a womb, this is known as a “Soul Matrix” .

NIJE KWENYE POINT YAKO YA UNAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKO]MENSTRUAL FLOW CIRCLE]

Mwanamke unapokuwa kwenye siku zako unakuwa ni dhahiri kuwa huwa unatokwa na damu ambayo tunasema inakuwa na magnetic flux and YOGI can tell you kuwa kuna brain tissues around the stomach area[ wale mliosoma medicine hapa mtankibalia],

inshort the stomach[ya mwanamke] is the keeper of CHI/FORCE/POWER and this is where is harnessed and stored.
Women have a high generative cycle of this
magnetic fluid in their Menstrual Blood or Plasma which is also a high energy substance ,ile damu Inayotoka ni hatari sna ndo hawaruhusiwi kwuingia makanisani na hata misikitini wakiwa kwenye ile
hali lakini ukweli unafishwa eti ni uchafu ,sio uchafu ule kwani ni fresh blood from uterine tissues,,

Tazama the Knights Templar as Sangrail ,ambayo inajiuhusicha na kulinda doctrine zote zinazoelezea jesus geneology yake pamoja na kuhifadhi ukweli wa siri nzito wa kanisa katoliki walikuwa wanjihusisha na kunywa damu hizi[menstrual blood shed] during their rituals of the Holy Blood
the Holy Grail/”Mag”delena ,forget about imani za dini,this is true...

Unfortunately HII NDO INAYOMFANYA mwanamke kuwa na nguvu kubwa ya kuvuta nguvu kutoka core of energy from underworld na darker energy na kumfanya atumiwe kuharness the Darker powers without questioning whether or not it’s correct, they just go with the “flow

New Age” woman develops more analysis, she will again deal a heavy blow to the Wicked One who is
no match for the Fury of Woman but is ever seeking to use her prowess,

Men are no better, without the feminine side they personally need to see the physical result of
their Spiritual practice na hii haina ubishi,we are too analytical..

Secret societies use much women kutekeleza mambo yao kwani women wapo easy kube connected to higher world kuliko mwanaume,ndo mana ushahidi wa mwisho huwa ni wa mwanamke,ni vigumu sana kwa mwanamke kuwe wrong in perception,,if it be any, in order to believe tunatumia mwanamke zaidi.

Due to many practicing for personal gain they only engage in the arts that produce fast and vivid results ,aina hii ya magic ni the most dangerous as it is not a greceful energy but a magic based on receiving not giving thus various pacts are formed men with lesser Spirits whose presence can be felt easier because they are dense slow moving vibrations, Chaos Magic

wakati mwingine hii tunaita the Gambling of the soul ambayo is forbiddenby wise men

As you see with the propaganda above Witches and Warlocks use both sides of the Pentagram and both sides bring about various energies we will call Negative Feminine and Negative Masculine. These are extremely unbalanced distorted energies. The flute in the hand of Sothis is the same flute Pan, another Horned Goat God, isoften seen with.

Kwa kifupi ndo inakuwa hivo kuwa unapokuwa kwenye menstrual flow,mwanmke unareceive high energy kuliko kawaida lakini zile nguvu haziwezi kukaaa mwilini simply because siyo kawaida yako kwa hiyo mwili wako unageuka kuwa conductor[kipiotishio] ndo mana kila unachoshika [hasa vitu vibichi] vinakuka kwa sababu unaruhusu enegry iflowkwani upo kwenye constant flow of anything na ile energy pia inamua kuflow,,

Angalia hata radi ikipiga kitu chochote kile mfano mti,,,ushawahi ona mti uliopigwa na radi ??
ule mti hukauka fasta na kunyauka vibaya sana.manake nini radi inagenerate output kubwa ya umeme kuliko kawaida,,ulishawa
ona nyumba yenye umeme halafu ikapigwa radi ..?/ manake hata kama umezima kila kitu hata sakitu breaker huwa inamua kuruhus output kuingia ndani,,hii nimeshajionea sehemu radi ilipiga nyumba ikazima umeme gafla lakini vitu viliungua vyote bila kujali kulikuwa na circit breaker au laaa..manake nini output ilikuwa kubwa hivyo electric conductor yoyote ile itaruhus kupitisha umeme hata kama kizuizi[ukinzani] utakuwa on..
ndivyo anavyokuwa mwanamke wakati wa siku zake,anakuwa direct in contact na higher centers to allow darker energy to flow kupitia yeye..
.

Wakati mwingine viumbe humwingia mwanamke zaidi kuliko mwanaume,angalia watu wenye mapepo ni akinia nani ukicompare na wanaume...?/

Mostly utagundua na wanawake ..na mapepo huingia wakiwa kwenye siku zao kwan underworld gate hufunguka zaidi mwanamke akiwa kwenye hedhi na kuruhusu interaction na mwanadamu ,,,

Angalia hata fallen angels walivyoinvade human entity ..ilikuwa ni muda ule wanawake walikuwa kwenye siku zao ndo contact ilikuwa rahisi zaidi,.

NAISHIA HAPA NAJUA KUNA KITU UTAKUWA UMEPATA.
Duuu
 
Sawa..!
Wale wanawake wanaofanya kazi ya kuchuma majani ya chai kwenye mashamba makubwa ya chai utaratibu wao wa kufanya kazi ukoje..?
Huwa wanakatazwa kufanya kazi wakiwa kwa hedhi..?
index.jpg
tea.jpg
Tea-in-The-Mountains-2.jpg
 
Kwa hiyo kuna ngvu ya uvutano kati ya decayed blood tissues na chlorophyll tissues kunakosabishwa na solar energy au?
Ina maana decayed blood tissues zinakuwa sucked with chlorophyll by conventional energy hence destroy stomata/plant cells au?
Ndugu zetu wa SUA tupeni majibu, tusije tuchanganya madesa ya old schools.
umenivunja mbavuu
 
Hili jambo kwa asiyelifahamu hawezi kulikubali. Kuna siku nilikuwa mtaan kwetu nikawa nazungumza na bibi mmoja hiv hapa mtaan akanambia, enzi zao ilikuwa akifikia muda wa hedhi, anajitenga kitanda na mumewe.

Mumewe akifika kitandani, akimuona katandika chini, anajua wekundu tayari wanamiminika. Katika Biblia pia kitabu cha Mambo ya Walawi, kimetanabaisha juu ya damu ya hedhi.
 
Imani tu, kama huna iyo imani hakuna kinachotokea.
Mkuu hapa nipo njia panda, nina bustani ndogo nyumbani kaja mfanyakazi wa ndani wa kike amechuma mboga siku ya pili majani yamesinyaa na siku ya tatu zimekauka na kuoza kabisa lile shina lake..
Kuna siku pia kama wiki mbili au tatu zilizo pita ni yeye au msichana mwingine alichuma mboga zikafa kwa mtindo huo huo.

Mboga ambazo hazikuchumwa na hao mabinti hasa huyo mgeni hazijakauka zipo vizuri sana.
Nilidhani anachuma vibaya labda ananyofoa (ply) majani kiasi cha kuvuta na kukata mizizi, nimechunguza mizizi ipo imara hajavuta mmea kwa kuzungusha(plying).

Nilikuwa mgumu kuamini haya mambo, sasa nashindwa kuwauliza kama walikuwa kwenye hedhi.
Baada ya kujaribu kutafuta majibu mitandaoni nikajikuta nimefika kwenye huu uzi.
 
Nimekuelewa ila hii picha imekataa kunipa hata neno moja
.....................................................................................................................................................

kwanza pole kwa hayo yanayokusibu na kujikuta ukijiuliza maswali mengi kwanini inakuwa hivo..nisikilize kwa makini nitakueleza kwa kifupi kwanini inakuwa hivo,,

kwanza kabsa nipende kukupongeza kwa kuumbwa mwanamke kwani wew ni potential resource tosha katika maisha ya viumbe hasa binadamu katika mfumo huu wa ulimwengu..

mwanamke ndo kiumbe pekee anayeruhusu generation ya uwepo wa viumbe vingine ulimwenguni kote,,,kiumbe yoyote wa kike ,ndo kimbe anzilishi wa uhai wowote wa mnyama au kiumbe yoyote duniani,,hongera kwa kuwa source ya kugenerate na kuprogress life in this universe,,,

NITAELEZEA KWA UNDANI LAKINI NI KIDOGO SANA KWANI SIAKUWA NA MUDA WA KUCHAMBUA KWA UNDANI ZAIDI BUT NITAKUPA HINTS KIDOGO KWANINI INAKUWA HIVO,,,,

Mwanamke[feminine] ana feminine energy na hii feminine energy in INTUITIVE [ana nguvu amabyo akifeel kitu huwa kina ukweli ndani yake bila hata kuhusisha concious reasoning] .

Mwanaume[masculine energy] ni analytical power power of reason and strengh [anahitaji analysis and reasoning kupata ufahamu na uelewa mwingi juu ya kitu flani kwa kuhusisha concious reasoning].

Ndo mana mwanamke anahitaji mwanaume awepo karibu to be more sensitive to their surroundings in order to get in tune with the surrounding and that is true,,,,

the current flow of our life is in oposite direction tofauti na tunavyojua,,a woman can bear a kid with no direct contamination na mwanaume lakini mwanume cant do that na hii ndo inapowapa uwezo wa kuitwa true energy potential of life[mfano ni mama yake yesu {nabii isah} alizaaa bila direct contact na mwanaume,,,

It is true kuwa when we become too analytical all what we have is mountains of data that are not attached to feelings thus higher sense[nguvu za ndani] haziwezi kuwa activated hence kutufanya [wanaume] kukosa power to do anything about our findings,especially when comes to divining the “real truth” or the “root” of what is going on in
your individual life so it can be adjusted properly so you can have a stable foundation,

For males it is of value to know that females make at least 50% more paranormal contact than
males. kupitia uwezo huo unamfanya mwanamke awe na uwezo wa kucomunicate na higher beings[nguvu za ajabu na viumbe wa dunia ya mbali{ulimwengu mwingine hasa ambako ndo chimbuko la nguvu zote{

One main reason these Beings can communicate with woman better than men is because they
possess a womb, this is known as a “Soul Matrix” .

NIJE KWENYE POINT YAKO YA UNAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKO]MENSTRUAL FLOW CIRCLE]

Mwanamke unapokuwa kwenye siku zako unakuwa ni dhahiri kuwa huwa unatokwa na damu ambayo tunasema inakuwa na magnetic flux and YOGI can tell you kuwa kuna brain tissues around the stomach area[ wale mliosoma medicine hapa mtankibalia],

inshort the stomach[ya mwanamke] is the keeper of CHI/FORCE/POWER and this is where is harnessed and stored.
Women have a high generative cycle of this
magnetic fluid in their Menstrual Blood or Plasma which is also a high energy substance ,ile damu Inayotoka ni hatari sna ndo hawaruhusiwi kwuingia makanisani na hata misikitini wakiwa kwenye ile
hali lakini ukweli unafishwa eti ni uchafu ,sio uchafu ule kwani ni fresh blood from uterine tissues,,

Tazama the Knights Templar as Sangrail ,ambayo inajiuhusicha na kulinda doctrine zote zinazoelezea jesus geneology yake pamoja na kuhifadhi ukweli wa siri nzito wa kanisa katoliki walikuwa wanjihusisha na kunywa damu hizi[menstrual blood shed] during their rituals of the Holy Blood
the Holy Grail/”Mag”delena ,forget about imani za dini,this is true...

Unfortunately HII NDO INAYOMFANYA mwanamke kuwa na nguvu kubwa ya kuvuta nguvu kutoka core of energy from underworld na darker energy na kumfanya atumiwe kuharness the Darker powers without questioning whether or not it’s correct, they just go with the “flow

New Age” woman develops more analysis, she will again deal a heavy blow to the Wicked One who is
no match for the Fury of Woman but is ever seeking to use her prowess,

Men are no better, without the feminine side they personally need to see the physical result of
their Spiritual practice na hii haina ubishi,we are too analytical..

Secret societies use much women kutekeleza mambo yao kwani women wapo easy kube connected to higher world kuliko mwanaume,ndo mana ushahidi wa mwisho huwa ni wa mwanamke,ni vigumu sana kwa mwanamke kuwe wrong in perception,,if it be any, in order to believe tunatumia mwanamke zaidi.

Due to many practicing for personal gain they only engage in the arts that produce fast and vivid results ,aina hii ya magic ni the most dangerous as it is not a greceful energy but a magic based on receiving not giving thus various pacts are formed men with lesser Spirits whose presence can be felt easier because they are dense slow moving vibrations, Chaos Magic

wakati mwingine hii tunaita the Gambling of the soul ambayo is forbiddenby wise men

As you see with the propaganda above Witches and Warlocks use both sides of the Pentagram and both sides bring about various energies we will call Negative Feminine and Negative Masculine. These are extremely unbalanced distorted energies. The flute in the hand of Sothis is the same flute Pan, another Horned Goat God, isoften seen with.

Kwa kifupi ndo inakuwa hivo kuwa unapokuwa kwenye menstrual flow,mwanmke unareceive high energy kuliko kawaida lakini zile nguvu haziwezi kukaaa mwilini simply because siyo kawaida yako kwa hiyo mwili wako unageuka kuwa conductor[kipiotishio] ndo mana kila unachoshika [hasa vitu vibichi] vinakuka kwa sababu unaruhusu enegry iflowkwani upo kwenye constant flow of anything na ile energy pia inamua kuflow,,

Angalia hata radi ikipiga kitu chochote kile mfano mti,,,ushawahi ona mti uliopigwa na radi ??
ule mti hukauka fasta na kunyauka vibaya sana.manake nini radi inagenerate output kubwa ya umeme kuliko kawaida,,ulishawa
ona nyumba yenye umeme halafu ikapigwa radi ..?/ manake hata kama umezima kila kitu hata sakitu breaker huwa inamua kuruhus output kuingia ndani,,hii nimeshajionea sehemu radi ilipiga nyumba ikazima umeme gafla lakini vitu viliungua vyote bila kujali kulikuwa na circit breaker au laaa..manake nini output ilikuwa kubwa hivyo electric conductor yoyote ile itaruhus kupitisha umeme hata kama kizuizi[ukinzani] utakuwa on..
ndivyo anavyokuwa mwanamke wakati wa siku zake,anakuwa direct in contact na higher centers to allow darker energy to flow kupitia yeye..
.

Wakati mwingine viumbe humwingia mwanamke zaidi kuliko mwanaume,angalia watu wenye mapepo ni akinia nani ukicompare na wanaume...?/

Mostly utagundua na wanawake ..na mapepo huingia wakiwa kwenye siku zao kwan underworld gate hufunguka zaidi mwanamke akiwa kwenye hedhi na kuruhusu interaction na mwanadamu ,,,

Angalia hata fallen angels walivyoinvade human entity ..ilikuwa ni muda ule wanawake walikuwa kwenye siku zao ndo contact ilikuwa rahisi zaidi,.

NAISHIA HAPA NAJUA KUNA KITU UTAKUWA UMEPATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mboga za majani hukauka , mboga anayoandaa haina madhara ? Nasikia hata mganga wa kienyeji akiwa na hiyo hali haruhusiwi kutoa dawa . Kulikoni ? Tuambizane ukwelï ili hata jikoni wasiingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom