Kuna uhusiano gani kati ya damu ya hedhi na mboga/majani kukauka?

Kuna dada mmoja mtaani kwetu yeye alienda kuchota maji kisimani wakati yupo period alikausha kisima chote mpaka leo yamebaki matope tu mwenye kisima anafugia kambale
 
Nishachuma mboga sana wala hazikukauka.
Hizo imani potofu tu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom